Interview ya ajabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Interview ya ajabu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by NasDaz, Oct 10, 2011.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Siku chache zilizopita niliitwa mahali kwa ajili ya interview! Kiukweli, hii kwangu ilikuwa ni interview ya aina yake ambayo sikupata kuishuhudia tangu naanze mambo ya kusaka ajira! Pamoja na wasahiliwa wengine; pia nilikuwapo mimi na mshikaji mmoja ambae nafanya nae kibarua kwenye ofisi moja.

  Kulikuwa na session tatu. Asubuhi kabla ya saa tano, tulifanyiwa usahili wa kawaida tu ambao ulilenga kufahamu background yetu. Ilipofika saa nne unusu; tukaenda kupigwa bonge la tea!!!

  NIKASHANGAA!

  Baada ya tea, tukaenda session nyingine ambapo hii ilikuwa ni oral interview ya mmoja mmoja! Ilipofika zamu yangu, pamoja na mambo mengine nikaulizwa maswali ya ndani kabisa yanayohusu kampuni ninayofanyia kibarua! Wakataka kufahamu hadi namna products/services zinazotolewa pale ofinini kwetu zinavyobamba wateja! Maswali haya yakanishangaza sana na kimsingi nikashindwa kabisa kuvumilia na ndipo nilipowauliza “are all these parts of interview or something else!” Wakanijibu ni part of interview questions! Palepale jamaa nikajuwa wanachotaka toka kwetu sio kutuajiri bali walikusudia kufanya marketing intelligence! Na kwavile sikuwa comfortable na aina hiyo ya maswali; nikawaambia wazi kwamba am not comfortabale with such types of questions therefore i’ve no answer! Wakaniambia msahiliwa hana uamuzi wa kuamua ni swali gani aulizwe na lipi asiulizwe!!!

  Baada ya kuona sitowi ushirikiano, wakanipiga maswali ya faster faster na wakaniambia nisubiri final session! Hata hivyo, sikusubiri bali nikasepa zangu! Jioni ilipofika, nikakutana na mshikaji wangu ambae tulikuwa wote interview! Nilipomuuliza baada ya second session, nini kiliendelea; akajibu ilipofika mchana walipigwa bonge la lunch! Na nilipomuuliza maswali ambayo waliulizwa, kwakweli iliniuma sana! Sikumchelewesha, pale pale nikamwambia kwamba amemsaliti mwajiri.

  Nimetoa simulizi ili kuwatahadharisha watu! Bila shaka mtindo huo unatumika sehemu mbalimbali! Let’s not be cheap bana! Hao jamaa inaelekea badala ya ku-invest kufanya research wanaamua kutumia watafuta kazi kwa ujira wa chips kuku! Kama nawe umeshawahi kukutana na interview ya aina hii na ukatoa ushirikiano, basi fahamu fika kwamba umemsaliti mwajiri wako.

   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  SAwa kabisa mkuu 2we makini bwana maana haya maisha wa2 washakuwawajanja sana.
   
 3. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  this is very very bad loh! ................
   
 4. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  bwana mi napingana na wewe kwani kama position ilikuwa ni ya sales and marketing lazima wajue background yako na kujua kama ulikuwa unauza the same product ulikuwaunatumia njia gani ili wafanye comparison na njia yao then wanakupa post kama mtu ambaye unawezakuleta effect kwenye organization.sales hawa ajiri mtu anayefanya duplication ya uzembe its all about creativity bana. na ku copy successfully strategy za competitor wao.
  Don't repeat the same mistake mkuu.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,299
  Likes Received: 22,083
  Trophy Points: 280
  mwajiri akiwa kauzu dawa ni kuwa kauzu zaidi yake
   
 6. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Its makes sense kumuinterview mtu kwa kuinquire ufahamu wake katika kile anachokifanya,
  lakini kama jamaa hawana nia ya kuajiri ila wanataka information pekee, they are evil.

  Na Jamaa alikuwa sahihi kabisa kuachana nao.
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,115
  Trophy Points: 280
  Na mimi napingana na wewe, huwezi kuniuliza maswali ya ndani kabisa ambayo kimsingi hayaendani na utendaji wangu kama alivyosimulia Mpwa....zipo interview questions nyingi sana lakini hizo za kuulizana maswali ya kampuni yako ni wizi tu. Haya lakini tuwe na tahadhari hata kama lengo lao halikua hilo lakini kwaewza kuwa na kitu kama hicho next time.
   
 8. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  MKUU, kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua background yangu na kujua mambo ya ndani ya kampuni! Hebu tufananishe maswali yafuatayo:
  1. What was ur sales turnover over the last three months?
  2. What is the company sales turnover over the last three months?

  Hayo maswali wewe unaona ni sawa? Swali la kwanza anataka kufahamu wewe kama wewe na ku-evaluate uwezo wako, lakini la pili anafahamu kwamba kampuni inaweza kuwa na sales people zaidi ya mmoja kwahiyo hapo sio anataka kuku-evaluate wewe bali ku-evaluate company sales/position......hapo i strongly disagree kwamba ni interview question, but purely markting intelligence mkuu!
   
 9. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Aisee... Kwa kweli ulifanya vizuri kuwaambia haupo kabisa comfortable na swali zao na ulifanya vizuri kuondoka. Huwezi kumziwia mtu mwengine kutoa ushirikiano ila nadhani unaweza kuwaripoti kwa authority fulani (canmber of commerce maybe?). Labda hakuna kitakacho fanyika ila kwa wewe mwenyewe kujiridhisha ni bora ukatoe taarifa.
  Asante kwa kutujulisha.
   
 10. peri

  peri JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wajanja Mjini Wako wengi na kila cku wanaibuka na stail mpya za kurahisisha maisha. Hiyo ndio biashara huria bana.
   
 11. ropam

  ropam Senior Member

  #11
  Oct 10, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  I doubt u misinterpreted the questions....bt the good thing is that u followed your heart, that puts u at peace with your own self! But YOUR NO BODY to JUDGE YOUR COLLEAGUE AS A TRAITOR, we differ in our common sense and our ways of reasoning naturally...those differences shouldnt classify us as wasaliti or watsoever!
   
 12. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 348
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  ni kwel now days campany hazitaki kufanya research abt they product wanatumia udhaifu wetu kwao kuwa advantage kaka nakupongeza kwa hilo

  nimejifunza kitu hapo
   
 13. k

  kulwadoto Member

  #13
  Oct 10, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hukuwa na shida na kazi ww.
   
 14. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  na nisingekuwa na kazi wasingeniita!
   
 15. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Mkuu, usiniambie hata katika maisha ya kawaida huwezi juwa mtu anayekuchimba! Wale jamaa hawakuwa na cha kazi wala nini, walikuwa na lengo la kuangalia strengths na weakness za competitors wao! by the way ukisema AM NO BODY, utakuwa unakosea sana ingawaje hilo ndio tatizo letu wabongo!!! my spirit ni kwamba, whenever i work, i take the company as mine no matter wht! Lakini unasema am no body to judge someone, wakati mwenyewe unanijaji kwamba am no body!!! wht nikikuambia the company i was working is our family company but i'd to look for other opportunities(puting into consideration mambo kama ya opportunity costs)?!
   
 16. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,131
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  Matapeli wengi kweli hapa mjini ...ulifanya jambo la maana mzazi.
   
 17. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  umeona enhee?! tena walinikera sana walipofikia hatua ya kutoa tea na lunch!!! yaani ni kama giving out information in exchange na misosi yao! Tena itabidi nimuulie vizuri yule mwana, manake kama sikosei nakumbuka aliniambia walipotoka pale kila mmoja alilamba 15,000/=!!! nakumbuka aliniambia ki2 kama hicho lakini i didn't concetrate! So, kama ndivyo, ni interview gani hiyo ya kutoa hadi sitting allowance?! TZ; sitting allowance wakati wa interview?!!
   
 18. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #18
  Oct 10, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kama uliamua kuwaachilia mbali ulifabya swala la busara sana .hongera sana ,hao jamaa ni wababaishaji hawana lolote.
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Pole sana
   
 20. m

  musobogo Senior Member

  #20
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  NAsDAz

  Nakupongeza kwa kuonyesha ukomavu wako. Huwezi kujua kama jamaa walikuwa wanatakakujua ikiwa unaweza kutunza siri za kampuni. Lakini pia maswali waliokuwa wanakuuliza yapimi uwelewa, ufanisi na tija unayoweza kutoa kwa kampuni bali ilikuwa kutafuta umbea tu. Hongera kwa ukomazi wako. You are who you are and no someone else.

  Achana na wanatafuta kazi za kujipendekeza. Onyesha kuwa unaijua kazi na utafuti kazi za favour bali unaijua.
   
Loading...