Interview - written

Interview - written

FORWARD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
740
Reaction score
296
Habari wadau, naomba mwongozo kwa wale wazoefu wanaobahatika mara kwa mara kufunya interview za Utumishi, Jumamosi nina Interview - written ila sijawahi kubahatika kufanya aina hiyo ya interview , Je huwa format yao ipo vipi , ni maswali ya kujieleza ama ni kuchagua jibu sahihi? mimi nipo mchepuo wa Uhandisi ujenzi. Natanguliza Shukrani..!
 
We kama material yako vizuri, wala usiwe na hofu, tatizo ni Kuna ukiritimba Sana huko
 
Jiandae kwa vyote maana wale jamaa hawatabiliki,inaweza kuwa kujieleza au mention au zote mara moja,kuna cku walitoa swali 1 tu lenye a&b kuhusu BRN Kada ya afisa tarafa.
 
Habari wadau, naomba mwongozo kwa wale wazoefu wanaobahatika mara kwa mara kufunya interview za Utumishi, Jumamosi nina Interview - written ila sijawahi kubahatika kufanya aina hiyo ya interview , Je huwa format yao ipo vipi , ni maswali ya kujieleza ama ni kuchagua jibu sahihi? mimi nipo mchepuo wa Uhandisi ujenzi. Natanguliza Shukrani..!

Interview yoyote inahitaji mtu mwenye general knowledge ya mambo ya nchi na dunia, kuwa na sifa ya unachokiomba, beba vyeti vyako vyooote original, kuwa nadhifu kwa muonekano, acha kujiremba na kujipodoa kupita kiasi, onyesha confidence kuwa unaifahamu vema kazi unayoiomba, jibu maswali kwa ufupi na ufasaha bila ya kuzunguusha maneno, na kama hujui kuwa wazi badala ya kusema uongo. Onyesha kujiamini kwa kutazamana usoni na wanaokuhoji. Salimia watu kabla na shukuru watu baada.
 
Hii itanisaidia nikipita ya jumamosi written-Interview!
 
Back
Top Bottom