Interview uhamiaji ilikuaje?

Interview uhamiaji ilikuaje?

Joined
Apr 5, 2014
Posts
39
Reaction score
8
Wadau mlioanza kupiga interview uhamiaji, imekuaje ndugu, tupeni picha nasi tunaosubiri siku nyingine!
 
Thubutuuuuu kama utaambiwa!! watu wamajua akikwambia wee unaenda kugonga maksi nyingi yeye anabaki
 
CHa kufanya ni kutafta namba ya simu kwenye gazeti na kumpigia yeyote ili atupe mwelekeo mzuri jaman
 
Kuna wale wa constebo na koplo ambao wamekwisha anza interview na interview zao bado zinaendelea, hebu tupeni mwanga jamani wanafanyaje huko baraza la maaskofu ili nasi tujiandae taifa?

Nawasilisha
 
mkuu naskia wameongeza majina mengine!!
 
wajamen mlio rud 2juzen kw wale watareh za mwshon msihofu mm nkisha enda nta dondosha hapaaa,waachen wabanaji
 
Mbio zimenishinda Mungu anisaidie next time nipige kwanza mazoezi tatizo sina mazoezi ya kutosha.
Zikitoka tena nitajitahidi niwe na mazoezi ya kutosha.
 
Back
Top Bottom