Interview UDSM

Ford

Member
Oct 21, 2011
9
2
Wadau naomba mnipe ufafanuzi kuhusu taratibu za UDSM wanapotoa nafasi za kazi maana safari hii walitoa mwezi June alafu mpaka sasa wamepiga kimya. Kwa kweli siwaelewi taratibu zao naombeni msaada wenu wana JF
 
Wadau naomba mnipe ufafanuzi kuhusu taratibu za udsm wanapotoa nafasi za kazi maana safari hii walitoa mwezi june alafu mpaka sasa wamepiga kimya.Kwakweli siwaelewi taratibu zao naombeni msaada wenu wana jf

unamjua nani hapo udsm?
 
Hakuna cha kujuana ni wewe tu!! Labda nirudi kwenye swali la msingi, kama walitangaza mwezi june ukaomba na hadi leo hawajaita basi jaribu kwenda kuulizia. Hakuna longo longo kaulize ili ujipange na kazi nyingine.
 
Ukweli ni kwamba hakuna longolongo nenda kaulizie ila huwa wanachelewa sana hata kuajiri baada ya interview uwe mvumilivu tu ndg yangu.
 
Wadua nashukuru mawazo yenu nimejaribu kuuliza kweli hawna longolongo japo wadau nategemea mambo mengi na taarifa kemkem kutoka kwenu wadau
 
Bwana Tindikalikali hakuna ninaye mjua hapo udsm ila nilitaka mnijulushe mambo yanaendaje?
 
Bwana Tindikalikali hakuna ninaye mjua hapo udsm ila nilitaka mnijulushe mambo yanaendaje?

Wasiliana na Mukandara,Maboko,Tambila,Sago,Zoto,Karamagi,Frenk,Rugumamu,Shinja,Shao isnt it?
 
Back
Top Bottom