Jamani naomba kuuliza.
Nilikuwa nafuatilia jinsi udom wanavyoita watu kwa ajili ya interview katka college mbalimbali. Cha kushangaza mpaka leo college of Education cjaona, tafadhali wadau mwenye update anijuze.
Naomba kuwasilisha
Pole sana mkuu, walishafanya kitambo sana. Waliita kimya kimya kwa simu. Hata mimi kuna college nilkua nimeomba nayo waliita kimya kimya kwa simu. Education kuna mtu wangu aliitwa kufanya interview