Interview UDOM

Mkuu mbona unakatisha watu tamaa sana! Ina maana wameianza kuita katka college zote au Una maana gani? Kama una habari za uhakika ni vema uziweke hadharani kuliko kuturusha roho namna hii. We unataka Mbufu akija kusoma hii comment yako azimie au una maana gani? Sisi tumeomba job bana na bado tuna imani tutaitwa unless wawe na watu wao kabisaaa vinginevyo lazima kieleweke!
haswb Ngoswe,naona anataka kunizimisha roho huyu,looh! Lakin matumain yanapotea muda unavyozid kwenda,ebu lulungeni tuhabarishe tunakusubiri
 
haswb Ngoswe,naona anataka kunizimisha roho huyu,looh! Lakin matumain yanapotea muda unavyozid kwenda,ebu lulungeni tuhabarishe tunakusubiri

Mkuu mbufu,

Mimi wala sina nia ya kukuzimisha! tupo pamoja kiongozi wangu! si unajua hata mie kila dakika nasubiriii tu labda nitaitwa lakini naona nei! Sasa kama vipi mwenzangu ukiitwa huko usikose kunipa info ili nijue wamenimwaga au vipi!
 
ndugu zangu nimeshahakikisha kuwa college of social sciences and humanities ndio imeita watu na leo baadhi wamefanyiwa interview na kesho watamaliziya hivyo kwa wale walioomba college of SSH kama ujaitwa consider your disqualified hivyo bado education na college zingine kama natural sciences na pia wataita muda si mrefu tutaendeleya kujulishana ok.
 
wa ndugu mimi kwanza sijaomba lakini hawa jamaa hawapo serious haiwezekani interview jumatatu unampigia mtu leo,huu utaratibu sijaupenda hata kama watu wanashida na ajira hii sio sahihi ,watu wanatofautiana mwingine hiyo nauli kupata mpaka akaombe ,wangefanya kama jamaa wa nao coz nafasi zilikuwa nyingi wangetoa kwenye magazeti,mitandao ya simu now days haiaminki unaweza ukapigiwa simu ikawa haipatikani kutoka na sababu yeyote ile, viongozi wa nchi hawataki kabisa kufuata utaratibu chuo kama udom wangefanya hivi ifikie wakati tuache kufanya mambo kwa mazoe kuna watu wanakaa vijijini hata umeme au minara ya simu haipo
 
kweli mwana mnyonge kama ulivyosema kwani matangazo kwenye gazeti yangeondowa malalamiko kwani usingatiya umeme wenyewe sio wa uhakika inamaana ukikosekana tu mara moja na lako halipo wakati mwingine watumie magazeti kuondowa lawama leo wamefanyia intervie watu ishirini kwa college of social sciences and humanities
 
UDOM chuo cha ajabu sana..yan product yake ya kwanza wale Graduate..haijachukua ata mmoja!licha ya kuwa waliomba..kuna jamaa zangu ka 7 ivi wali-apply na GPA kali lakn wap!Vp au Udm haimini ata "uzao" wake?hahahaaaa siasa bana hatari sana
 
Hata hivyo nafasi zile ni za michaga na mihaya maanake hao jamaa kwa kubebana ni noma!nashangaa mnawapigia kelele akina lowassa,Rostam na Chenge eti mafisadi,je hili la kuendekeza ukabila hamlioni?ni zaidi ya ufisadi!departments zimejaa wao,wengine full vilaza,3.8 kwa magumashi!
 
tuk tuk tuk.... mapigo ya moyo yapo spid kama jenereta ya kijerumani. sijui nimo. hebu tupeni habari jamaa!
 
Kwa kweli kama baba hamwamini mwanae sijuhi anataka nani hamwamini!na kumpa ajira!cwaelewi mm pia najamaa zangu wametoswa na mm pia ila 2pambane 2takuja kuwa juu kuliko hao wachaga na wahaya wanaobebana..Let's b optimistic gays..
 
Back
Top Bottom