Interview Tume ya Utumishi wa mahakama ya Tanzania

chapakazi878

Member
Apr 28, 2013
20
5
Jamani hii ni week ya 2 sasa tangu deadline ya tangazo la Tume ya utumishi wa mahakam, vipi kuna yeyote mwenye habari kamili kuhusu interview ya Tume ya Utumishi wa mahakama itakuwa lini?
 
We mbona una haraka sana, watu wali
subiri kuitwa kwenye usahili miezi 8, (refer TRA) wewe wiki 2 tu umepanic, fanya shughuli zingine kaka,
 
Jamani hii ni week ya 2 sasa tangu deadline ya tangazo la Tume ya utumishi wa mahakam, vipi kuna yeyote mwenye habari kamili kuhusu interview ya Tume ya Utumishi wa mahakama itakuwa lini?

wewe umemaliza chuo mwaka huu nn? inaonekana huna experience ya kuomba kazi, watu wanakaa hata miezi 7 ndio wanaitwa kwenye interview wewe unashangaa wiki mbili.
 
Wiki 2 tu!!!!! bado sana, Fanya kama umesahau kuwa uliomba kazi huko.
 
Kwa maoni yangu. TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA BADO HAIJAJIPANGA. nasema hivyo kwa kuwa watu walifanyanya usahili mwaka Jana mwezi WA 5 na waliofaulu walipewa barua za kupangiwa vituo tokea mwezi Wa 7/ 2014.

Mpaka Leo hawajapangiwa vituo vya kazi. Rejea nafasi 55 za mwezi March 2014 za mahakimu WA kazi NA zile nyingine 85 za mwezi 7 Julay 2014. Kinachofanyika tokea mwaka Jana ni kutolewa kwa kazi pamoja NA usahili2. Hakuna aliyewahi kurepoti au kupangiwa kituo cha kazi zaidi ya kupewa barua ya kusubiri kupangiwa kituo cha kazi.

Ninyi mtakaoitwa kipindiki hiki endapo mtapewa nafasi ya kuuliza maswali Mara baada ya usahili.. tafadhali msisite kuwauliza kwa nini wana chelewesha kupanga vituo vya kazi kama walivyojieleza kwenye Barua zao.

Kwa hyo huko sio kwa kukimbilia mkuu.
 
Ahsanteni kwa ushauri wakuu ila kuuliza siyo vibaya coz kwa sasa nimepata picha mpya kama hii ya kuchelewa kuitwa kazini.....
 
Kwa maoni yangu. TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA BADO HAIJAJIPANGA. nasema hivyo kwa kuwa watu walifanyanya usahili mwaka Jana mwezi WA 5 na waliofaulu walipewa barua za kupangiwa vituo tokea mwezi Wa 7/ 2014.

Mpaka Leo hawajapangiwa vituo vya kazi. Rejea nafasi 55 za mwezi March 2014 za mahakimu WA kazi NA zile nyingine 85 za mwezi 7 Julay 2014. Kinachofanyika tokea mwaka Jana ni kutolewa kwa kazi pamoja NA usahili2. Hakuna aliyewahi kurepoti au kupangiwa kituo cha kazi zaidi ya kupewa barua ya kusubiri kupangiwa kituo cha kazi.

Ninyi mtakaoitwa kipindiki hiki endapo mtapewa nafasi ya kuuliza maswali Mara baada ya usahili.. tafadhali msisite kuwauliza kwa nini wana chelewesha kupanga vituo vya kazi kama walivyojieleza kwenye Barua zao.

Kwa hyo huko sio kwa kukimbilia mkuu.

Duh.. Mbna ni hatari mkuu kama ndo ivyo izo nafasi watu wanaweza itwa kazini 2016 mana utaratibu wao kwakweli subira inaitajika.
 
Back
Top Bottom