kua risk taker mzee.
nikiitwaga interview hafu nikaona tumeitwa wengi na nafasi chache, au nikahisi kuna harufu ya kujuana, uwa najitahidi kukumbuka wale jamaa wa uhamiaji walioitwa buku kumi plus na bado watu wakatoka kwao kagera wakaenda, aisee, siachi bila kwenda.
mkuu wewe nenda. kama ni ridhiki yako, utapata tu, ila kama sio ridhiki, sio mbaya kuongeza ata experience ya interview, na kufahamiana na watu (interviewee na interviewers)