Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

Hawajamaa wanazingua na makorana haya hiyo interview ingekuwa online,then tukipass ndo unaitwa live hawaangalii garama

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Maswali ya kawaida sana nakumbuka tuliitwa 400 ,interview ilifanyika Morogoro mjini kuna hotel ipo Msamvu pale karibu na kile chuo kikuu nilishika nafasi ya 2 sikupataga kazi 2019 sababu katika hiyo nafasi aliitajika mtu mmoja tu.
wakanambia ikitokea nafasi watanistua ndio kimooooja mpaka leo TPB wana dhambi😂😂😂

Maswali ni ya maarifa ya jamii ,english na hesabu mfano unaweza ukaulizwa madini ya Nickel kwa Tanzania yanapatikana nchi gani?? Je nchi gani inaongoza kwa uchimbaji wa copper dunia ??multiple choice na vijihesabu kidogo.
 
Aisee maswali ni ya kawaida tu mkuu General questions hadi hesabu za kujumlisha na kutoa zinakuwepogi, ntahudhuria pia kwa mara nyingine! Ila nikikumbuka tulivokua wengi vile duh
Njoo tufuge kuku wakati unaendelea kufukuzia ajira...Ukiipata una expand business yako
 
Nyie waajiriwa ingekuwa busara msiwazibie riziki wenzenu jamani.
Aisee maswali ni ya kawaida tu mkuu General questions hadi hesabu za kujumlisha na kutoa zinakuwepogi, ntahudhuria pia kwa mara nyingine! Ila nikikumbuka tulivokua wengi vile duh🤔🤔
Acheni nao waonje raha ya kuamkia kazini
 
Daa nilidhani nimeitwa peke yangu, kumbe kijiji
Halafu hizo aptitude test, tungefanya tu online kama crdb na nmb kupunguza gharama na usumbufu usio walazima
Awamu ingine ya kwenda kuuza Utu 😂
 
Kweli mtanange ni mkali
 
A
Aliyekwambia maswali yatakuwa ya darasani ni nani?
Usishangae kuulizwa benki ya TPb ilianzishwa mwaka gani?
 

watu 400 anatafutwa mmoja daaa
 
Watakaoenda hiyo tar 8 waje watupe maswali kidogo waliyoulizwa huko angalau wengine tupate mwanga kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…