Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

Nimekupenda bure kwa jibu lako.

Napenda watu wanaopenda changamoto mpya na vitu vipya.
 
Aiseee hiii ni kweli walitoa nafasi kama 1000 hivi
 
Mlio itwa oral mbona hamleti mrejesho
 
Jamani mliofanya oral kuna aliyeitwa kazini? Mana naona kimya kwangu isije kuwa najipa matumaini kumbe tayari cku nyingi[emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…