asaivi naona wanatoa popote ilimradi ikiwa inaendana na hiyo field basiIle niliyofanya wiki iliyopita Dom, niliishi kwenye duties nikaletewa mengine, nikakandwa.
Juzi pia Duce nikajitahidi kusoma random ndani ya taalum, ila ilikandwa pia.
Kiufupi pepa kuitabiria ni vigumu, ila asiache kufuata miongozo mnayompa