THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,775
Asome kwa ujumla kuhusu hiyo kada/kazi. Utumishi hawatabirikiBado nasubiri madini yenu wana baraza..!
Kwakweli manake wanaweza kumkanda haswaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asome kwa ujumla kuhusu hiyo kada/kazi. Utumishi hawatabiriki
Hahahahaaa.Kwakweli manake wanaweza kumkanda haswaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naskia siku hizi wanakanda watu balaaa..!!
Pole sana ndgu ndio michakato ya maisha ilivyo,mwanzo hukupitisha katika nyakati ngumu ili kukujenga.Hahahahaaa.
Nilikandwa jana, sina hamu nao kabisa
DuhWeka picha yake upewe miongozo...
Walitoa maswali yanayohusiana na kada husika au,?Hahahahaaa.
Nilikandwa jana, sina hamu nao kabisa
Mwambie apitie humu anaweza pata pa kuanziaSalaaam,
Shemeji yenu amebahatika kuitwa kwenye interview ya Nafasi ya Operation Officer TAA(Mamlaka ya Viwanja vya ndege)
Naombeni msaada kwa possible questions na pia asome nini na nini.
Ni hayo tu kwa sasa....!
Bonde la Baraka na wadau wote
Ahsante mkuuMwambie pia afuate hizo link anaweza pata chochote cha kumpa mwanga zaidi
Shukran mkuuMwambie apitie humu anaweza pata pa kuanzia
Ndio mkuuWalitoa maswali yanayohusiana na kada husika au,?
You are welcomeShukran mkuu
Ile niliyofanya wiki iliyopita Dom, niliishi kwenye duties nikaletewa mengine, nikakandwa.Soma notes zinazohusiana na duties zako kiongozi ingekuwa rahisi kukupa muongozo kama tungeona duties