Habari wakuu,
Hii iliyonitokea ni kiboko, leo ndo nmepata barua ya kuitwa interview SUMATRA iliyofanyika tarehe 11/12/2014 pale Ardhi University. Najiuliza inamaana jamaa kupiga simu walishindwa au hata kuweka kwenye website ?
Dah haya bwana ndo ishanipita hivo.
sidhani sababu hawa jamaa kazi zao hazipitii utumishi.
Pole ndugu,but mambo ya kutumiwa barua siku hizi yamepitwa na wakati,bora hata wangekuemail,dah ndo basi tena.
Sumatra hawafai nao kama ni kweli hii post.
Habari wakuu,
Hii iliyonitokea ni kiboko, leo ndo nmepata barua ya kuitwa interview SUMATRA iliyofanyika tarehe 11/12/2014 pale Ardhi University. Najiuliza inamaana jamaa kupiga simu walishindwa au hata kuweka kwenye website ?
Dah haya bwana ndo ishanipita hivo.
Kati ya mashirika yanayoongoza kwa nepotism kwenye ajira Sumatra wapi kwenye tatu bora
Mengine ni yepi?