Interview PPF

Jamani hawa jamaa hatari sana yaani wamenibadilisha jinsia na meseji Yao mpaka nikajichekea mwenyewe. Nimetumiwa hii message leo " Dear amiNA HASSAN MSWAGALA Tafadhali rejea usail uliofanya na ppf katika nafasi ya Contributions Trainee , Tunasikitika kukutaarifu kwamba Hukufanikiwa katika usahili huo"

Sasa sijui kimetokea nini akati mi ni wa kiume. Naomba niwape rai human resource wawe makini na utendaji wao kazi. Haya mambo ya kuitana Amina hayapendezi kabisa.
 

Nackia ht waloitwa wametumiwa ......hao watu bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…