Hv mitihan yao ipoje kwan nami wamenitumia sms ya interview tarehe tano...kwa nafas ya liaison operation trainee..naomba mnijuze wakuu kwan hata sielewi chochote[/QUOTE
Mkuu samahani, interview ya Mara ya kwanza hukufanya kabisa?? Na je ulituma maombi lini hiyo maana wale waliomba Mara ya kwa nilisikia bado wanafanyiwa assessment am a??