"ukiwa mnafiki ujanani,uzeeni utakuwa mchawi" acha kusambaza taarifa zisizo sahihi na juu ya yote usilisemee usilolijua kwa uhakika.PPF bado hawajaita watu kazini,interview bado zinaendelea na ya mwisho walifanya tarehe 24/07/2015.
Sasa kama zinawatu, kwanini watuite watu wa mikoani?. Hawatuonei huruma kwa gharama tunazotumia kwenye nauli zetu, basi watulipe nauli tulizotumia watu wa mikoani ili tumalizane kwa amani.
Haiwezekani tusidanganyane wakuu. Mnataka kusema zile nafasi zote karibu 40 zilikuwa na wenyewe? Kama ni kweli HR department ya PPF inapaswa kudharauliwa kabisa. Ila mi naamini Kuna integrity fulani hawawezi kufanya hivo. Tuamini tu bado wapo kwenye mchakato na very soon mtajulishwa mnaostahili. Over
Me nadhani subira inahitajika na tusiwe na fikra potofu riziki zetu zipo sema wakati wetu haujafika ngoja tuone mwisho wao wataita tu kama sio mimi ni wewe mungu analijua hilo
Interview haindeshwi kwa utaratibu kama ule ppf...hata mamluki anazama anajifanyia pepa anasepa,hakukuwa hata na list za majina za kusaini,tuliandika majina badala ya kupewa namba simple kumpendelea mtu wamtakaye.
Mkuu nawaonea huruma sana..watoto wa wakulima ...watu kitaambo wapo kazin kaka...mm brow HR pale lakin kasubirishwa kwanza kumchomeka sister mpaka mwakani....kaa hivyo hivyo msubir