Dah ppf kuna siri nzito sana
Mwisho wa filamu la kifilipino ilikuwa ni taasis ya watu waziwa ..
Samahani kaka, unamaanisha PPF tayari washawapa watu kazi?
hawa jamaa vp mbona kimya tu au ndo wametuchinjia baharini?
Kaka ukiona kimya hujue tayari washafanya yao Ppf.