Interview PPF Pensions Fund

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,659
3,705
Salama wakuu hivi kazi za mwisho zilizotangazwa na PPF bado hawaita watu interview? mwenye taarifa anisaidie tafadhali.
 
Utaratibu ni kwamba, wale mtakao hitajika mtaitwa kwenye usaili. Njia mutakayo itwa ni Kama ile ile ya kwanza. Kupitia vyombo vya Habari.

Tusubirini kwa saburi nafasi hizi.
 
Sawa mkuu
 
Salama wakuu hivi kazi za mwisho zilizotangazwa na PPF bado hawaita watu interview? mwenye taarifa anisaidie tafadhali.
Mkuu kwa nafasi na drivers tayari wametoa usaili tarehe 3 mwezi 7 .hzo nyingine vuta subra
 
Back
Top Bottom