Interview PCCB

Interview PCCB

Wakuu naona kimya kuhusu interview, labda kuna yeyote aliyeitwa kwenye usaili tayari? Maana wamesema only shortlisted candidates will be informed
 
Wale wa mwezi wa saba nawakumbusha leo ni tarehe 31 mwezi 7 mwaka 2017...hivyo mnaruhusiwa kusimamia msimamo wenu hadi mwezi wa saba mwakani panapo majaaliwa.
AKHSANTENI
 
Back
Top Bottom