Interview PCCB

wisdom empire

JF-Expert Member
May 5, 2017
337
288
Yeyote mwenye taarifa yoyote kuhusiana na usaili wa nafasi zilizotangazwa na pccb wiki kadhaa zilizopita naomba tujulishane maana binafsi sijasikia chochote hadi sasa baada ya muda wa kutuma maombi kupita.
 
wewe, sikuizi hatuiti tunawachunguza kwanza uko uko mliko kuna watu wameisha tumwa kuwachunguza sasa ukutwe ni kikojozi itakula kwako.

Sijui hapa umemaanisha nini lakini nimejikuta nacheka tu yani
 
Mbona mnawatisha watu?Sasa kama watu walioomba wapo 10000 kwahiyo watachunguzwa wote huko huko?At least ungesema waliofaulu usaili ila kinyume na hapo ni porojo.
 
Yeyote mwenye taarifa yoyote kuhusiana na usaili wa nafasi zilizotangazwa na pccb wiki kadhaa zilizopita naomba tujulishane maana binafsi sijasikia chochote hadi sasa baada ya muda wa kutuma maombi kupita.

Mkuu wewe uliomba ile kazi mbona vigezo vilikuwa vigumu sana?? maana haya mambo ya kuwa na cheti cha primary school naona kilinishinda maana mimi niliishia darasa la sita nikaendaga sekondary
 
ungeomba hivyohvyo ujaribu bahati yako
 
Mkuu wewe uliomba ile kazi mbona vigezo vilikuwa vigumu sana?? maana haya mambo ya kuwa na cheti cha primary school naona kilinishinda maana mimi niliishia darasa la sita nikaendaga sekondary
Mm niliomba ivo ivo maana niliamini ht wakiona sina vigezo vyao hainizulu kitu.

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom