Interview NSSF: Maswali 100 dakika 135

hahaha your position? ?? acha ufala dogo embrace the challenge....you are suffering from Inferiority Syndrome....hivi wewe ni wa kike ama?
Kama huwezi kujibu kistaarabu chonde chonde you are free to leave my thread.
 
Hapo wala hamna tatizo..muda unatosha sana. Dakika 15 soma maswali yote..Dakika 10 chagua maswali rahisi.. baada ya hapo anza kujibu kwa spidi..pumzika dakik 5 endelea kujibu..dk 5 nyingine proof read
 
Taifa limekumbwa na tatizo la ubinafsi, na ndio maana unaona ufisadi umetamalaki kwa viongozi na walio kwenye taasisi za umma. Ni sababu za ubinafsi tu ndio zilizowapeleka wenye ajira kwenye usaili wa NSSF, na ndio maana walitaka kabisa waonekane na wengine kuwa wako kwenye ajira nyingine kwa kuning'iniza vitambulisho vyao shingoni.
Ubinafsi ni sumu mbaya sana kwa Taifa, na ipo siku moja italeta madhara makubwa sana.
Ova
 
Anapoamua kuwasaidia anawasaidia kwa muda gani? Sekunde moja, dakika moja, nusu saa, saa moja au? Swali lilikuwa kwa kiswahili au kiingereza? Huenda na wewe hata swali hukulielewa (hasa kama lilikuwa kwa kiingereza)
 
hahaha mleta mada ni kilaza sijapata kuona
 
Anapoamua kuwasaidia anawasaidia kwa muda gani? Sekunde moja, dakika moja, nusu saa, saa moja au? Swali lilikuwa kwa kiswahili au kiingereza? Huenda na wewe hata swali hukulielewa (hasa kama lilikuwa kwa kiingereza)
Sorry, anawasaidia kila baada ya masaa matatu kwa muda wa masaa matatu kila wakati.
 
Kwangu mimi mda ulikua fair ila zile hesabu zimenigonga ile mbaya sina hamu nao
 
Kwa aptitude test, maswali 100 kwa dakika 135 ni nyingi sana... in short mmependelewa! Katika hali ya kawaida hapo mngepewa dakika 30-50!
 
Kulikuwa na maswali ya hesabu za mafumbo u formulate equation mwenyewe, sijui unaweza ku formulate equation baadae ufanye hesabu ndani ya dakika 1.

Kama ni kweli basi graduates wajiandae kuuza nyanya,am so worried inavyoonekana sasa ni kuwa soko la ajira liko saturated,sijui baada ya miaka 10 itakuwaje
 
mkuu, kwavile C anatoa msaada kila baada ya 3hrs kwa muda wa 3hrs, then katika 6hrs, kiwango cha kazi kitachokamilika ni 1/30*6+1/40*6+1/60*3=2/5. Kwahiyo, 4/5 ya kazi itakamilika in 6+6=12hrs.A na B ktk 3hrs wanakamilisha 7/40 ya kazi(inakua imebakia 1/40 kukamilisha kazi). A,B na C (C akianza kusaidia) wanakamilisha 9/40 ya kazi ktk 3hrs kwa pamoja , kwahiyo, 1/40 ya kazi iliyobakia itakamilika ktk 3*1/40*40/9= 20minutes. Jumla ya masaa ni 6+6+3+20mints=15hrs20mints. Swali linajibika ndani ya dakika moja.
 
Easyfit,
Mkuu hii ni kawaida na ndio maana inaitwa aptitude test. Sio lazima umalize maswali yote..Inapima vitu vingi ikiwamo speed na uwezo wako wa kufanya choices and decisions while under pressure.

Kuna certifications nyingi zinakua na limited time. Mfano CISA wana maswali 200 in just 4 hours.
 
Tutaamini vipi kuwa umefanya Ndani ya 1min?!! Acha mbwembwe
 
Iwe umepata au umskosa sidhani kama umetumia 1min kufikiri na kujibu hilo swali, tuwe wakweli hapo.
 
Weka swali moja/mawili tuone set up yake ilikuwaje. yalikuwa open ended au closed

Ombi la Msingi kabisa hilo kiongozi! Isije ikawa mtu ana kichwa kizito tu sisi tukaanza kuwashambulia nssf! Maana hizi shule za Kata zimezoea kukariri, hawawezi ile kitu ya kutumia ubongo! Aweke hapa maswali ili tuchangie vizuri!!
 
Shule za kata ndizo tunazomudu....unataka tukasome wapi?? Kumbe nia ya kutuanzishia shule za kata ni kututofautisha sisi na watoto wenu...bas sawa
 
sio kitucha ajabu
 
Ni shiiiiiiiida! Yani kutafuta KDS ya 30, 40 na 60 upewe dk 2? Si unaangalia kwa macho tu kwamba jb ni 120 kwa hyo watamaliza wote kwa pamoja baada ya masaa 120 tena mi ningemaliza ndani ya dk 50.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…