Yaani utakuwa frustrated sana..kwanza ofisi iko migombani kimandolu kule arusha,ofisi ni sebule plus jiko pembeni..unakaa mezani unafanya kazi huku dada anakaanga samaki..ni sheeedah
ebu acha uongo,office za hawa jamaa ziko DTB bulding opposite mount meru hotel.
Unafanyia mkoa gan mkuu... Mi pia ninafanya tar 26
Yaani utakuwa frustrated sana..kwanza ofisi iko migombani kimandolu kule arusha,ofisi ni sebule plus jiko pembeni..unakaa mezani unafanya kazi huku dada anakaanga samaki..ni sheeedah
Kwa yeyote anaejua usaili wa M-Power coy huwa unakuaje baada ya kufanya online test.Naamanisha tena mnafanya written interview nyingine au oral?, na je maswali gan hasa huulizwa tafadhalin naomba msaada wenu wana jf.
ok ukishafaulu online test unaendelea na group interview ambayo wataasses your participation therr after kuna oral ambapo utaulizwa any question it doesnt take more than five minutes for oral
Wadau punguzeni uongo, mimi nafanya kazi OGE-Moshi, Ofisi ipo DTB building na kwasasa wamechukua lile jengo wanaita M-POWER building..... Ni miongoni mwa kampuni zinazolipa vizuri sana na hawaangalii experience na vile vile ukifanya kazi kwa mafanikio unaweza kuwa promoted ndani ya mwaka na ukawa hata Regional Manager
Kampuni ya kisenge sana hiyo ..dangayaneni tu mtakuja kuleta ushuhuda hapa..regional manager wa babati mshahara 678,000/=!!!
Kampuni ya kisenge sana hiyo ..dangayaneni tu mtakuja kuleta ushuhuda hapa..regional manager wa babati mshahara 678,000/=!!!
acha uongo huduma kwa wateja wanapokea kama mia saba hivi....na kuna jamaa wanawafahamu mishahara yao mmoja milion tatu na upuuzi mwingine millioni mbili na nusu na wao sio ma regional manager ...ni kati ya kampuni inayolipa vizuri tu......