Shamkware
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 1,756
- 2,309
Nilikuwa nimezima simu kufungua nikakutana na ujumbe unaonitaka kuhudhulia usaili kesho saa tano! Nimeambiwa kampuni iko mikocheni kalibu na cocacola hata spajui naomba mnielekeza kama kuna mtu anaifahamu kampuni hii ilipo! Au kama kuna mtu kaitwa tuambatane! Asanteni!