Interview BOT: Msaada Aptitude Test

BOT ni miongoni mwa independent Organ kwenye Nchi hii mambo za kubebana hazitokei Sana.
Halafu kama Mtu ni kigogo kwenye taasisi kama hiyo hawezi subiri mpaka nafasi zitoke ndo aanze kuhaha kumuweka mwanae. Atamuweka kimya kimya.. Pia mara nyingi nafasi huwa zinaongezeka kama Kuna bosi mkubwa ana mtu wake ambae anategemea reference ya Bosi huyo.

Mwisho kabisa. Let's Close the Case Mchakato umeisha walioitwa Oral hongera zenu. Tuliobaki tujipange kwa zijazo.
Watu wako training nyinyi bado mnapiga mayowe.
Hii Comment iwe ya Mwisho. Bye bye.
 
Umenena ukweli Vigogo hawawezi kusubir michakato ya usahili kamwe huwa wanaingizwa kimya kimya na hii ni maeneo yote
 
Mbona mchakato wa awali ulikuwa open sasa inakuaje mchakato wa practical na oral kuwa wa siri siri hapo hamna kitu zaid ya kubebana tu
 
Reactions: apk
Mbona mchakato wa awali ulikuwa open sasa inakuaje mchakato wa practical na oral kuwa wa siri siri hapo hamna kitu zaid ya kubebana tu
Shortlisted for the Oral walipigiwa simu mkuu haiwezi kuwa ya siri kama waliitwa kwa njia ya simu.
 
FATALITY.

Umemaliza kila kitu Mkuu
 
Reactions: apk
Samahani, japo ni muda mrefu umepita, naomba kujua ulipoenda kufanya written interview kwa maana ya aptitude test, waliuliza maswali gani hasa? Moo Click .
 
Reactions: apk
BOT,kama utaratibu haujabadirika,Huwa Kuna interview mbili,
Moja ya kuandika,nyingine oral,
Ya kuandika ni maswali yanayohusiana na kada Yako,
Nilifanya hapo interview,2010,electrical engineer,tulipigwa maswali ya general ya ufundi.
Kwa wewe wa hr,pitia mambo ya taharuma Yako vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…