Interview BOT: Msaada Aptitude Test

Moo Click

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
3,495
Reaction score
3,253
Wakuu habarini za Asubuhi na poleni na majukumu ya kila siku!

Lengo la kuandika hapa nikuwaombeni mnisaidie aptitude test Benki Kuu ya Tanzania (BOT) huwa inakuaje?

Au maswali yake huwa vipi?

Maana nimeitwa kwenye interview, naombeni msaada nafasi ni HR.

Naomba kuwasilisha.
 
Mimi sina utaalamu wa HR ila nataka nikushauri kwa maoni yangu kutokana na majibu ya maswali haya;
Interview lini?
Mmeitwa watu wangapi na nafasi ni ngapi?
Timeline ya written na oral ni muda/siku ngapi?(Yani tarehe ya written ni lini na ya oral ni lini)
 
Hebu tuwekee tangazo la kazi tuone majukumu ni yapi?
Umeitwa kwenye usaili kwa barua au simu?

Jibu hapo nikupe muongozo
Okay Well.

Nimepigiwa simu ya confirmation then after 24hrs nikatumiwa barua ya wito wa aptitude test.

Siku ya interview ni Tarehe 4 November
Muda ni Saa mbili asubuhi eneo ni Sub head office Dar es Salaam
 
Nafasi zipo 4 mkuu ila sijajua sasa tumeitwa wangapi maana wao ndo wanajua coz unapigiwa simu na email tu hamna majina kama wanavyo fanya utumishi kutoa pdf
 
Kapitie notis za
HR planning,
HR movements kutoka kuajiriwa, promotion, leave, transifer hadi retirement.
Mengine ni kupima uelewa wako generally, hesabu lazima.
Izo zingine HR concept sijui matheory i've nothing to fear najiamini ishu ni iyo aptitude test ambayo wanasema haibase kwenye career yako
 
Ushafeli mwanangu, tafuta chaka jingine.
 
Inategemea ni kada ipi umeitiwa,uhandisi,biashara nk.
Na pale huwa kunakuwa na interview mbili,
Huwa Kuna mapocho pocho kibao,korosho,kahawa,kuku kidogo,kipindi hicho hata nauli unarudishiwa kama umetoka mkoani.
 
dah
Inategemea ni kada ipi umeitiwa,uhandisi,biashara nk.
Na pale huwa kunakuwa na interview mbili,
Huwa Kuna mapocho pocho kibao,korosho,kahawa,kuku kidogo,kipindi hicho hata nauli unarudishiwa kama umetoka mkoani.
Mkuu izo habari mnazipataga wapi? Mbona uku sioni?
 
Reactions: apk
Umeitwa post gani
 
Mi
Pia nimeitwa niko huku kutafuta muongozo kwa walio tangulia lkn ata hawaji.mm yangu tareh 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…