Interview bank abc graduate programme

SUPERUSER

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
960
304
Wakuu,Hivi hawa jamaa washaita watu kwenye interview?..kama bado then wataita lini?..kama kuna mtu mwenye info basi tufahamishane manake it has been a long time
 
Mmmh! hawa watu bwana sijui walikuwa wanatest watu,maana kuna muda hata ile link yao muda fulani ilikuwa iko valid lakini baadae kidogo ikawa invalid,sasa sijui hata wale watu waliofanikiwa kutuma application zao kabla ya invalidation ya ile link wameitwa au la.
 
Kuna mtu jana aliandika thread kuna namba ya ttcl ilipigwa kwake sa alikuwa anauliza ka kuna mtu anaifahamu, ila baadae akasema ilikuwa ni ya Bank abc..nadhanit ilikuwa kwa issue za interview..tafuteni hy thread
 
Back
Top Bottom