B for Beatrice
Member
- Apr 25, 2021
- 5
- 5
Naomba msaada.
Anayejua maswali yanayotoka kwenye usaili (Afisa utamaduni) anisaidie..
Anayejua maswali yanayotoka kwenye usaili (Afisa utamaduni) anisaidie..
Au ataambiwa aje ya papa yako.Utapewa chatu ucheze naye 😹
Poleni sana, ilikua ni full hesabu amaLile jiwe laleo alietoboa ni hatari sana
Yan sio Kwa jiwe lile😥🙌🙌Lile jiwe laleo alietoboa ni hatari sana
Scenario questions yenye majibu yanayofanana sana yametofautiana kidogo sana so yalihitaji kutumia muda mwingi kusoma na kuelewa swali, swali la grammar likikuepo pia, swali la hesabu pia na computerPoleni sana, ilikua ni full hesabu ama
Ukiona mtihani mgumu basi probability ya kufaulu ni kubwa, kuliko zile unakuta rahisi kiasi wanakatia 90%. Bora hizi hata ukifikisha 50-60% unakua walau una probability ya kuitwa oral/practical.Scenario questions yenye majibu yanayofanana sana yametofautiana kidogo sana so yalihitaji kutumia muda mwingi kusoma na kuelewa swali, swali la grammar likikuepo pia, swali la hesabu pia na computer
Utaambiwa uwakatikie mauno wasahili
Ah kmmk 😂 nimecheka knomaUtapewa chatu ucheze naye 😹
Huyo Kyaga kama sio yeye vile ambaye mlikuwa mnapambana wote uzi wa ajira, hapo kabla hajalamba asali 😅Ah kmmk 😂 nimecheka knoma
Ameshajipata sio 😂Huyo Kyaga kama sio yeye vile ambaye mlikuwa mnapambana wote uzi wa ajira, hapo kabla hajalamba asali 😅
Ana comment za hovyo huyo jamaa 😅😅Ameshajipata sio 😂
Ila labla amesema hvy kutoka na uzoefu alioupata huko
Au hajalipwa mshahara tangu aripoti 😂Ana comment za hovyo huyo jamaa 😅😅
Halafu yeye anadeal na wanaoleta mada zinazohusiana na suala la ajira tu 😅