mkuu mkuu! lete habari huko, jamaa wamesema watatujuza lini mkuu! pesa wanatoaje kwa loan officers, hongera kaka mana hata kuitwa interview kwa sasa mtu unashukuru kuwa hata cv zako kuna watu wanaziangalia nao, mana si unajua urasimu wa sasa
mimi waliniambia watanipigia mwisho wa wiki hii kunipa majibu na kuhusu malipo sijajua but walisema ni negotiable hawakuwa specific ingawa waliniuliza napenda nilipwe ngapi.
mimi waliniambia watanipigia mwisho wa wiki hii kunipa majibu na kuhusu malipo sijajua but walisema ni negotiable hawakuwa specific ingawa waliniuliza napenda nilipwe ngapi.