Intervew NMB

mzuri homy

Member
Joined
May 24, 2014
Posts
16
Reaction score
1
Nimetumiwa meseg ya kuitwa kwa aptitude test na nmb bank. jamani tujulishane hayo maswali yanakuwa vipi coz ni mara yangu ya kwanza kwa kweli
 
mkuu aptitude test inaweza kuwa na maswali ya hesabu, communication skill, alafu ikawa na section ya proffessional yako.
 
Mi nimeitwa Arusha. Itakuwa na huyo jamaa kaitwa hukohuko
 
Nimetumiwa meseg ya kuitwa kwa aptitude test na nmb bank. jamani tujulishane hayo maswali yanakuwa vipi coz ni mara yangu ya kwanza kwa kweli

kama ww sio mchaga au muhaya imekula kwako
 
Nmb hawana ubaguz confidence ya muhimu hats km umeenda chaka maswali ya general ndo wanauliza sana km ya darasan no machache San ila mi sikuulizwa swali LA darasan hata moja pia jua product za nmb na wamiliki wa nmb ktk hisa
 
Jmn wadau vp yale ya mkoa wa pwani bado awajaita mana huku vitumbo joto atuelewi kabsa
 
nawashukuruni wote jamani kwa ushirikiano mlionipa. mbarikiwe..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…