INTERSTATE TOURS inahitaji watu wawili tu.

365

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
1,377
Reaction score
1,460
Interstate tours ni biashara ya huduma za kitalii ndani ya tanzania na nje ya Tanzania,
Biashara hii inahitaji watu wawili wenye sifa zifuatazo.
1.marketing and events organizer competence(mtu wa kwanza)
2.Information and technology competence(mtu wa pili)

Wenye sifa hizi nitumieni ujumbe wenu wa siri(pm).

Nb.hili ni zao la Tangazo langu lililohusu campsite kama mna kumbu kumbu,.watu makini walijitokeza na tunaendelea vizuri.

Karibuni tuwahudumie watanzania.
 
Mi nataka kuwa Managing Partner nije na mzigo kiasi gani?
Karibu sana,katifa ya hawa watu wawili unafiti kwenye yupi?maana hata hawa watakua kwenye management team,
 
Mkuu
Interstate tours ni biashara ya huduma za kitalii ndani ya tanzania na nje ya Tanzania,
Biashara hii inahitaji watu wawili wenye sifa zifuatazo.
1.marketing and events organizer competence(mtu wa kwanza)
2.Information and technology competence(mtu wa pili)

Wenye sifa hizi nitumieni ujumbe wenu wa siri(pm).

Nb.hili ni zao la Tangazo langu lililohusu campsite kama mna kumbu kumbu,.watu makini walijitokeza na tunaendelea vizuri.

Karibuni tuwahudumie watanzania.
Mkuu nimekufata pm,njoo tuyajenge
 
Back
Top Bottom