Internship search

Rakeem

Member
Aug 9, 2011
94
12
habari zenu wadau.mimi ni ni muhitimu mpya kabisa nimemaliza pale CHUO KIKUU ARDHI (zamani uclas) degree ya kwanza ya sayansi katika usimamizi milki(Property and facilities management/estate management).Natafuta sehemu ya kufanya kazi kwa kujitolea ili kuongeza ujuzi wa vitendo.naomba kuwasilisha
 

dane

Member
Sep 2, 2010
8
1
Mkuu huku sio sehemu sahihi,hakuna atakayekupa hiyo nafasi.Cha msingi tafuta organization inayohusika na hayo mambo yako-then email au peleka physically CV na cover letter ukieleza nia yako hiyo-then subiri wakuite.Peleka sehemu kibao tuu mana unaweza ukapeleka mahali na usiitwe
 

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,448
8,283
habari zenu wadau.mimi ni ni muhitimu mpya kabisa nimemaliza pale CHUO KIKUU ARDHI (zamani uclas) degree ya kwanza ya sayansi katika usimamizi milki(Property and facilities management/estate management).Natafuta sehemu ya kufanya kazi kwa kujitolea ili kuongeza ujuzi wa vitendo.naomba kuwasilisha
kuu tafuta hapa kuna sehem ya internship Huwezi kujua bahati yako iko wapi jaribu mkuu https://careers.un.org/lbw/home.asp...0&department=All&jobtitle=All&cf=CNT&occnet=0
 

Sanga n.

Member
Jun 28, 2011
51
11
Jitahidi kutafuta kwenye sehemu ambazo zitakuwa karibu nawe.
Kwani unaweza ukapata mbali pasipo na ndugu ukashindwa kutokana na gharama za maisha. All da best kaka.
 

Tiamaji

Member
Oct 17, 2011
33
24
Jaman wakuu salama?,samahani ila naomba msaada jinsi ya kuandika COVER LETTER kwa application za internship. Pls m2 mwenye nayo aiweke hapa i2saidie. Asanteni
 

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,923
1,372
Jaman wakuu salama?,samahani ila naomba msaada jinsi ya kuandika COVER LETTER kwa application za internship. Pls m2 mwenye nayo aiweke hapa i2saidie. Asanteni

Mkuu humu ni kusaidianana tu, check link hapa chini na nimejaribu kukusaidia kusearch google maana nimeona unatumia simu...
Sample Cover Letter: Internship
au hii hapa chini

When writing an internship cover letter, mention both your academic experiences, and your past work experience, if applicable.Review more Sample Cover Letters.
Sample Cover Letter - Internship
FirstName LastName
Name University
Street
City, State Zip
cell: 555-555-5555

Date
Name
Job Title
Company
Street
City, State Zip

Dear Ms. LastName,
I am interested in applying for the scientific research summer internship position that was listed through the Name University Career Services Office.
I have had a great deal of laboratory experience in chemistry, biology, and geology, both indoors and in the field. In the lab, I have performed chemical reactions and I am currently using microscopes to observe many specimens. In environmental field studies, I have conducted outdoor labs to assess water chemistry.
Last summer, I worked as conservation assistant at Clumber National Park. I am seeking to complement this outdoor experience with a research internship in order to acquire the background necessary for a future career in scientific research.
I believe that I would an asset to your program. This internship would provide me with the ideal opportunity to assist at your organization and to expand my research skills.
I will call next week to see if you agree that my qualifications seem to be a match for the position. If so, I hope to schedule an interview at a mutually convenient time. I look forward to speaking with you.
Thank you for your consideration.
Sincerely,
Signature
FirstName LastName 

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,923
1,372
Naona hiyo letter maandishi yameungana kama unaweza jaribu hiyo link hapo utaona imekaa kwenye mfumo wa letter
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom