Prince Habby
Member
- Aug 19, 2016
- 28
- 8
ANGALIA SONGAS,NA Total TanzaniaNawasalimu kwa ujumla wakubwa wangu wa JF heshima kwenu
Nahitaji msaada wenu, natafuta internship kweny mashirika yanayojihusisha na masuala ya mazingira, hata kufanya volunteering niko OK, lengo ni kuendeleza career yangu katika usimamizi wa Mazingira.
Natumai nimeeleweka Nahitaji msaada wenu katika hili
Kwa yeyote mweny ufaham na Mawazo karib sana
Upo mkoa gani? Halafu mazingira ni pana. Upo ok upande upi hasa?
Nichek PM NIKUPE FURSA IPO NJE NJE FANYA FASTA
Unapatikana wapi?Nawasalimu kwa ujumla wakubwa wangu wa JF heshima kwenu
Nahitaji msaada wenu, natafuta internship kweny mashirika yanayojihusisha na masuala ya mazingira, hata kufanya volunteering niko OK, lengo ni kuendeleza career yangu katika usimamizi wa Mazingira.
Natumai nimeeleweka Nahitaji msaada wenu katika hili
Kwa yeyote mweny ufaham na Mawazo karib sana
ANGALIA SONGAS,NA Total Tanzania
Nipo Dar es salaam, kwa sasa uwezo huo sina, Nahitaji uzoefu kwanza, nisaidie kam itawezekanaUnapatikana wapi?
Ni kwa nini usianzishe NGO ya mazingira hapo ulipo ili uungane na wengine waliokuzunguka hapo kurekebisha mazingira yenu?
Upo mkoa gani? Halafu mazingira ni pana. Upo ok upande upi hasa?
Naweza, hilo halina shida, niko avaliable hata kwa miezi 3 na zaidUnaweza kwenda kujitolea mkoani?
Lini unatarajia kua mwisho wa kujitolea (unaweza pewa kazi ukaacha katikati ikawa shida kuimalizia).
Nipo na copy ya final desertation nilotoka nayo chuoUpo vizuri kwenye scientific writing?! Una sampuli yeyote ya andiko la kisayansi?
Sina kingne zaid ya hicho kwa sasa, labda msaada wako tu ndio utakao niinua ila naaamin kwa maarifa nilonayo sitakuangushaHiyo haitoshi mkuu.
OK nashukur kwa hiloNgoja niwasiliane na jamaa kwenyenfani hiyo. Nilikua nakusanya taarifa ili nikiongea nao nijue nawaambia nini.
mmh!! sina hamu na hii courseNawasalimu kwa ujumla wakubwa wangu wa JF heshima kwenu
Nahitaji msaada wenu, natafuta internship kweny mashirika yanayojihusisha na masuala ya mazingira, hata kufanya volunteering niko OK, lengo ni kuendeleza career yangu katika usimamizi wa Mazingira.
Natumai nimeeleweka Nahitaji msaada wenu katika hili
Kwa yeyote mweny ufaham na Mawazo karib sana
Umeahapata au bado?
Bado cjapata kwa kweliUmeahapata au bado?