xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 185
Wakuu nasubiri majibu yenu kwa hamu
point yako ni ipi?
we si kipanga wa UDSM una wasi wasi gani sasa,je na sisi wa TEKU tusemeje?Wakuu nasubiri majibu yenu kwa hamu
we si kipanga wa UDSM una wasi wasi gani sasa,je na sisi wa TEKU tusemeje?
Kama hauna mchango ni bora usome na kupita tu sio kuchangia vitu visivyo na mantiki...sitaki ligi mkuu
nadhani ina mantiki, ni kweli unaweza ukajihusisha na part time job provided kwamba si kila siku utakua unaenda, weza kuchagua siku mbili au tatu katika wiki, ofisi au mahala ambapo unafanyia internship pawe ama ni chuoni au karibu na chuo..wengi inawapa tabu hasa pale ambapo stress za masomo zinapozidi, labda uwe unafanya kila inapofika likizo kubwa ..
kama nimekuelewa vizuri, ni vizuri kufanya internship - na kwa mfumo wetu hapa Tanzania (sijui ni wa elimu au vipi) intership hufanyika kwa mfumo wa field Practical/attachments - na hii inatofautiana na chuo na chuo, before Mzumbe -IDM walikuwa wanafanya kwa miezi 4 na UDSM walikuwa wanafanya mwezi 1 wakati wa Likizo,wakati Mzumbe walikuwa wakifanya kozi zote UDSM walikuwa wanafanya Engeringa na Education na Laws peke yake, nasikia siku hizi wote (UDSM) wanafanya hio Internship ila sijui MZUMBE na vyuo vingine mfumo upoje siku hizi?
Ninachotaka kusema ni kuwa Internship ilikuwa inafanyika na inafanyika - lengo likiwa ni kuwapa uzoefu wanafunzi na kwa maana hio hakukuwa na tatizo la kubalance masomo na internship maana vyote vilikuwa vinakwenda pamoja na vilitegemeana, ila kwa temporary job nadhani itakuwa ngumu kwa mfumo wa masomo yetu na kwa uhaba wa kazi ama taasisi za kuweza kuajiri watu inakuwa vigumu kupata kazi za muda
haina mantiki ndio maana watu wana iview na kuiacha kama ilivyo
ok ngoja nikuongezee idadi ya comment
Usipende kujishushia heshima,kama haina mantiki soma kisha uondoke zako...sitaki ligi coz naona unataka kupoteza dhima ya mada husika
dhima ni nini?
ni kweli internship ni muhim sana kwa mwanafunzi kwani inamjengeya xperience ya kazi!kwa tunaosma engineering cjui kwa kozi nyingine tcu wameweka utaratib kwamba miaka yote(kuanziya mwaka wa kwanza hadi wanne) lazima twende field!na techical report lazima uwandike baada ya kumaliza field kwani inachangiya ktk GPA yako
I've never thought that you can be such undesirable dude,I classify you as a person of borderline intelligence with total mental retardation...WTF-FTW you..
I've never thought that you can be such undesirable dude,I classify you as a person of borderline intelligence with total mental retardation...WTF-FTW you..
all in all through this comment i have proved that you have poor thinking capacity
a true great thinker can not progress with foolishness comment like this
but not i thinks its pre mature age still disturbing u..!