internet

Adolph

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2010
Messages
894
Points
225

Adolph

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2010
894 225
wakuu habari zenu......kwa bahati mbaya nipo sehemu ambayo hakuna 3g internet na hakuna ttcl broadband...nimeanzisha internet cafe yangu ya kizushi ya kutumia moderm ila nilitaka nitanuke kibiashara zaidi....baada ya kugundua ttcl broadband haipatikani na sasatel pia haipatikani nimekua nikitafuta jinsi nitakavyofanya ili niweze kuitumia moderm moja kwenye computer mbili au tatu na isiwe slow....mwenye ujuzi ningeomba anisaidie...hapa nilipo kuna mawasiliano ya voda,tigo,zantel na ttcl..........
 

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Messages
5,297
Points
2,000

Kang

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2008
5,297 2,000
Kwa ujumla ni kwamba ukitumia PC3 kwenye modem moja utakuwa umegawanya bandwidth mara 3 so itakuwa slower kwa kila mtumiaji, kutegemea na nani anatumia nini na setup ya network yenyewe mgawanyo unaweza ukawa hauko sawa kwa watumiaji wote, lakini hakuna jinsi ya wote kupata spidi kama ambavto wangepata akiwa kila mmoja ana modem yake. Njia moja ya kutatua ni kulipia spidi kubwa zaidi kama inapatikana.

1. Njia rahisi ya kugawanya hiyo modem ni kutumia "Router" inayosuport modem za USB so USB utachomeka kwenye router kisha router itasambaza internet kwenye PC zengine wired or wirelessly.


2. Kama PC zako zitakuwa connected kwenye local LAN, Windows ina option ya internet connection sharing so PC yenye modem inaweza kuziruhusu PC nyingine kupata mtandao kupitia kwake.

3. Pia kuna software ya Connectify inaigeuza PC kuwa Wireless AP, so PC inapata net kutoka kwenye modem kisha inaziruhusu PC nyingine kukonect kwake kama Wifi AP, pC zote inabidi ziwe na Wifi.
 

Forum statistics

Threads 1,388,900
Members 527,829
Posts 34,014,068
Top