Jamani sijawahi kutumia vodacom ila nimejaribu kwa mara ya kwanza leo na nimeingia kwenye hii ofa yao ya unlimited kwa sh 200 usiku, natoa ushuhuda kuwa kasi nliyokumbana nayo ni ya ajabu jamani sijawahi ona, napakua vitu kwa kasi ya moto sana

hao ni wasanii.hata mimi mwanzo ilikua faster baadae ikawa very slow.
Wakati mwingine unanunua bundle wakishakata pesa intanet unaipata kwa shida ama hakuna.
Nikaamua kuconfigure upya phone kwenda Airtell.
Hii internet kweli ilikua na speed ile juzi na mimi binafsi nilishusha 3GB kwa tsh. 200/= ila jana nimejiunga wameishapunguza speed na asaiv top speed napata 350kb per second. Sio mbaya kwa kiwango cha pesa nnachotoa so BIG UP vodacom.

kwanza why ungoje mpaka usiku wa manane??
unajua mitandao ya GSM na sasa hii ya 3G haiwezi kua na speed mchana kwa sababu the same network inatumia both voice and data ambayo inafanya mtandao uwe congested!, sasa hawa jamaa kuondokana na hilo wanaleta PROMOTIONS zao za USIKU WA MANANE wakijua kwamba hakuna congestion. lakini kama ulivyosema mkuu Abdulhalim hapo kwenye bold lazima itakua hivyo.
nawaaminia makampuni yanayotumia CDMA kwa internet connection kwamba ndio yanatisha kwa speed, tyr Zantel na TTCL uone.