habar wadau nauliza hivi nikiunga internet ya voda ya 1000kwa siku ikifikia mb1024 speed inashuka je nikijiunga kifurush cha 20000 cha mwezi ni vile vile kuna limit au ndo ni magumash tu ili niwapigw chini.voda

Usipoteze hela na muda. Spidi inashuka baada ya GB moja ya download. Pathetic Vodacomhabar wadau nauliza hivi nikiunga internet ya voda ya 1000kwa siku ikifikia mb1024 speed inashuka je nikijiunga kifurush cha 20000 cha mwezi ni vile vile kuna limit au ndo ni magumash tu ili niwapigw chini.voda
habar wadau nauliza hivi nikiunga internet ya voda ya 1000kwa siku ikifikia mb1024 speed inashuka je nikijiunga kifurush cha 20000 cha mwezi ni vile vile kuna limit au ndo ni magumash tu ili niwapigw chini.voda
Toka matundu ya Pdproxy yafungwe sijawahi furahia huduma ya internet. Nimesubiri hadi nimekata tamaa.
kuna hawa Airtel speed kama 4G vile
yaani ni mwendo wa 8Mbps mpaka 16Mbps
- Utapata maximum speed kwa 5.12GB
- Kisha speed inashuka kuwa ya kobe mpaka muda wako wa mwezi utakapo kwisha.
- Kwa sasa package ya thamani ya fedha yako utapata kupitia airtel OMG package - Tatizo si maeneo mengi yenye kasi nzuli kwa airtel ukilinganisha na vodacom

Nadhani unatania..