Internet ya unlimited ya Vodacom

Internet ya unlimited ya Vodacom

Mi mwenyewe mpaka zifike 4Gb, ni Possible just ile 1Gb ikiisha usidisconnect modem, ukidisconnect basi na speed inashuka.
Hong25; what if ukiwa unatumia wireless ya simu ya android??
 
Last edited by a moderator:
IMG_20141218_234602.JPG
 
Labda nikuulize uko sehemu gani?

Airtel ni mtandao pekee wenye minara mingi ya 3.75G sehemu za mijini

Kama unaishi Bush Airtel sio yako

Mfano humu JF nimeweka picha nyingi kuonesha kuwa Airtel ni moto wa kuotea mbali

Utani wangu uko wapi sasa?

Nenda kokote Tanzania hata ofisini kwa voda,tigo,zantel au wapi uone kama utakaa upate speed kama hii kwa 3G

mY AVERAGE SPEED WITH aIRTEL NI 2.5MB/sec equivalent to 20Mbps

nlnr.png
Mkuu hebu nielimishe kidogo kuhusu hawa Airtel manake ndani ya siku tatu nimelazimika kurudi kwa Vodacom ambao ni very expensive lakini kama mambo yenyewe ndo haya basi ni heri ya hao Vodacom!

Kifurushi cha Vodacom cha wiki (unlimited) ni sh. 6000 na ukinunua package una uhakika wa 100% kwamba utamaliza wiki... ndio baada ya kwisha zile 2 GB, speed inapungua lakini unaendelea kupiga mzigo kama kawaida na hata downlond ya mafaili ya kawaida up 300MB unaweza ku-download within one hour or two!

Majuz nikanunua Airtel... kwavile sijawahi kutumia Airtel, nikalazimika kuanza na bundle ya wiki OMG kwa sh. 2500! Hata siku tatu hazijaisha, hizo 2GB zao zimeisha na nimekuwa disconnected kabisa! More interestingly, ni wiki ambao nilikuwa too busy to the point sijafanya any large downloading! Kama kuna downloading yoyote ya maana ni 37 excel files totaling 27 MB! Sasa hivi inawezekana kweli 2GB ziishe within 3 days just for surfing au kuna kitu sijakifahamu? Manake kama ndo hivi ni bora ya package ya sh.6000 kwa wiki kuliko hii ya sh. 2500 ya Airtel.
 
Wewe unachojali ni Quantity sio quality
Ss tunatumia Airtel sababu speed yake ni hatari sana regardless vifurushi vyao kutokua Unlimited yaani lazima ujue kwamba Airtel ukinunua 2GB ni 2GB kweli zikiisha zimeisha kweli hauna connection tena

Ni ukweli usiopingika Vodacom nafikiri ndo wana unlimited hivo kwa wengi ni affordable hii voda hata kama 2GB zikiisha wakapunguza speed lkn unaweza kuendelea ku browse internet

Inshort ni kwamba mm nikikaa Online 12hrs kwa ku browse na kudownload vima file vya 5MB average najikuta nimetumia 1GB hivo wewe 2GB kuisha within 3days ni kitu cha kawaida sana
 
Labda nikuulize uko sehemu gani?

Airtel ni mtandao pekee wenye minara mingi ya 3.75G sehemu za mijini

Kama unaishi Bush Airtel sio yako

Mfano humu JF nimeweka picha nyingi kuonesha kuwa Airtel ni moto wa kuotea mbali

Utani wangu uko wapi sasa?

Nenda kokote Tanzania hata ofisini kwa voda,tigo,zantel au wapi uone kama utakaa upate speed kama hii kwa 3G

mY AVERAGE SPEED WITH aIRTEL NI 2.5MB/sec equivalent to 20Mbps

nlnr.png

kweli kabisa.
 
wewe unachojali ni Quantity sio quality
Ss tunatumia Airtel sababu speed yake ni hatari sana regardless vifurushi vyao kutokua Unlimited yaani lazima ujue kwamba Airtel ukinunua 2GB ni 2GB kweli zikiisha zimeisha kweli hauna connectiontena

Ni ukweli usiopingika Vodacom nafikiri ndo wana unlimited hivo kwa wengi ni affordable hii voda hata kama 2GB zikiisha wakapunguza speed lkn unaweza kuendelea ku browse internet

Inshort ni kwamba mm nikikaa Online 12hrs kwa ku browse na kudownload vima file vya 5MB average najikuta nimetumia 1GB hivo wewe 2GB kuisha within 3days ni kitu cha kawaida sana
Concern yangu sio kuwa limited au unlimited.... ni kwamba, katika hizo siku tatu nilikuwa too busy to the point hamna chochote ambacho nili-download zaidi ya 27 MB excel file ambazo nilizifanyia kazi offline! In short, hata hiyo browsing ilikuwa ni ya kuvizia... kwamba unacheki kitu mara moja kisha unasepa! Anyway, nimeshapata jibu kwavile hata speed yake sioni kama ina tofauti sana na Vodacom kumbe basi kwangu best ni Vodacom...
 
yan kama pande zangu michosho 2pu,2G kwenda mbele.ttcl ndo mpango mzima
TTCL ninawaaminia sana... nina li-DSL Modem lao, siku niKilipasha, hadi raha... sema wanachoniboa ni pale siku laini zao zina matatizo basi utafanya kazi ya kufuatilia hadi mtu unaamua kughaili..
 
Concern yangu sio kuwa limited au unlimited.... ni kwamba, katika hizo siku tatu nilikuwa too busy to the point hamna chochote ambacho nili-download zaidi ya 27 MB excel file ambazo nilizifanyia kazi offline! In short, hata hiyo browsing ilikuwa ni ya kuvizia... kwamba unacheki kitu mara moja kisha unasepa! Anyway, nimeshapata jibu kwavile hata speed yake sioni kama ina tofauti sana na Vodacom kumbe basi kwangu best ni Vodacom...

kwa maelezo yako haujaweza kuweka clear modem uliiacha iko connected kwa masaa mangapi?
navyojua ukiwa umeconnect modem online kuna windows/applications/software updates zinazo run background hivo ukiacha modem for 5-12hrs unaweza kukuta 1GB/day imeisha hivo 3GB kuisha per day ni sahihi bado na vithibitisho ungefatilia kwenye statistics za dashboard ungegundua zimelika 3G kweli...

hivo ni vema kujua aetiology ya hizo 3GB zako ziliisha vip?
 
Nothing is unlimited wakuu.. Ni marketing hype.. Low bandwidth, watumiaji wengi.. Matokeo low speed!
 
Hahahaha...kila mtu anatrick zake mkuu..Huwa na download mpaka 4Gb usage of data real:glasses-nerdy::madgrin:

Nami najiongeza mkuu!!
OMG ishakuwa useless, tigo nao maeneo ya kwetu ni full kobe so nimerudi kwenye unlimited ya voda buku unakamua 7gb kiaina speed ni 700KBps baada ya hizo 7Gb inadrop kwenye 35-50KBps
 
Back
Top Bottom