poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
Ahsante mkuu. Nimedownload na kuinstall nimefanikiwa shukrani sana.
Pamoja mkuu. Ungeweka link ingekuwa poa zaidDownload software inaitwa connectfy hotspot
Jaribu Download | mHotspotAhsante mkuu. Nimedownload na kuinstall lakini tatizo nakosa net.
Naona nashindwa kuunga net ila kushare inakubali.
Ziko program nyingi za kukuwezesha kufanikisha hiliHabari wadau wa jukwaa la teknolojia.
Naomba kufahamishwa namna ya kushare internet iliyo katika laptop
kwenda katika simu kwa njia ya Wi-Fi. Utaalamu wangu unaishia kutoa Net katika simu kupeleka
katika laptop. Mwenye ujuzi/ufahamu juu ya hilo naomba anielekeze.
Ahsante.
cheki store zipo software, search tu neno hotspotNimekuwa natumia hizo software kwenye Windows 7, lakini tangu nihamie Windows 10, zote hazifanyi kazi. Nyingine hadi zina connect kabisa ila ukitaka ku browse kwenye simu, pages zina fail.
Asante, sijawahi tafuta kitu kwenye store, naona leo ndio nitaanza kupapekua.cheki store zipo software, search tu neno hotspot