Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,177
Of course sio rahisi always ukipata loop hole wenye network wanaziziba hiyo sio destinaton ni journey since wanaotengeneza security wana akili kama wanauovunja security kwahiyo hii ni battle kutoka kwa wenye mali na hackers... kwahiyo ni time consuming na hata ukifanikiwa ni for a short time..... kwahiyo is it worth it (Hapana) ndio sababu mimi sijafanya.. lakini uwezekano upo; hackers huwa wanafanya vitu sio sababu to kusave pesa hapana lakini hata tu kuonyesha kwamba they can beat the system
Majibu Mengi waliomjibu huyu Mkuu Mzux D ni ya PUMBA TUPU kataka kuelimika watu humu ndani wnamjibu PUMBA TUPU kasheshe kweli
Sasa ulichojibu wewe ni nini hapa? kweli miswahili ndivyo tulivyo.
Dr phone umri culz hapa mie. Kuna jamaa m1 kaniambia ukiweka confir ya voda intanet na ubadl line ya zain hapo ndo utaona bure.
Mkuu binafsi nimetafakari baada ya kuipitia tena hii post leo tangia nilipo reply, nimegundua sikutoa comenti ya kiungwana as a great thinker na imenilazimu kuidelete.
Niwie radhi kwa hilo
Mkuu binafsi nimetafakari baada ya kuipitia tena hii post leo tangia nilipo reply, nimegundua sikutoa comenti ya kiungwana as a great thinker na imenilazimu kuidelete.
Niwie radhi kwa hilo
Kuhusu hilo la kutumia confir za zain kwa voda, linapunguza gharama na si bure.
Kwa mujibu wa mdau mmoja alilileta hapa janvini ni kuwa kama unatumia simu za nokia n series or any symbian 4ne unachotakiwa kufanya ni kuweka line ya zain ktk 4ne yako kisha utapokea confir za zain, zi save.
Then weka line yako ya voda na fungua opera mini browser itakupa option unataka kuconnect na confr gani select ya zain kisha utaanza kusurf kwa bei nafuu sana kupita maelezo.
NB. Lazima 4ne iwe nokia N series or any others symbian 4ne
Pia lazima utumie opera mini na sio browser ya 4ne
Sasa simu ya mkononi na laptop vina uhusiano na chandarua?
Its funny thing humu ndani kuna watu wana vichwa vidogo kuliko akili walizobeba..sasa unakuta mtu huyohuyo anasema muanzisha thread kapewa majibu mabaya, lakini mtu huyohuo tena anasapoti njia za panya za kuweza ku-access internet illegally..kweli JF home of great stinkers..
Dear smart a$$,But i thought the answer to him was 'it's not possible' or?And who the heck has said 'hey Mzux D we support u men' he has just been answered and not supported,do a little thinking b4 replying jeeeez.
Dear smart a$$,
The commonsense is not so common to u? is n't?
Mtu yeyote mwene akili timamu inaofanya kazi barabara, anajua kwamba internet sio bure,na haiwezi kuwa bure, kama internet ingekuwa bure ISPs wasingekuwepo. Huo ndio mshangao wa wote waliomshukia huyu mleta thread kuuliza habari ya 'free internet'
BTW, fuatilia tangia mwanzo kwene hii thread ni nani waliotuma posts zenye kushawishi ku-cumvert huduma za simu kwa kubadili settings ..i hope unajua kusoma eeh?
Okay dumb a$$.I have come to realise that u know nothing abt hacking or cracking and it's pointless to argue with u.So i'm not going 2 do that anymore find u'r fellow dumb a$$ and do it with him.
PS.
Go find out what is hacking and what is cracking and what they can do.
Hacking na cracking inahusika vipi na 'free internet'?? Unavozidi kufungua mdomo ndio unavozidi kudhihirisha upumbavu wako...internet ingekuwa free kusingekuwa hata na haja a ku-hack, **** wewe..
Teh teh teh,Guys hivi nani hapa anadhihirisha upumbavu wake save u'r dignety while u can!Si ndo maana nakwambia cwezi kubishana na wewe!Hackers who are confused with crackers are the people who do stuff like these.They have methods which hack ISP's computers and...anyway this is pointless to you u know nothing still u dont want 2 learn so Talk to tha hand.
Bwe he he..u r so s.tupid..I guess I was talking to a brick wall.
Let me break down for your pathetic little peanut mind to comprehend..
The fact that u can steal food does not make food to be free...comprende?
Equally, kueza kuhack ISPs au kwenda kudowea free WIFI Starbucks au any other WIFI hotspot, does not make internet free..K? Do u see the logic? a$$hole?
daima si wote wataalamu wa haya mambo ya internet na mambo mengine kama unajua chochote basi jaribu kumuelekeza mtu kama hujui ni bora usibiri lazima watakuwepo wenye kujua hicho kitu.tusikatishane tamaa kuuliza maswali kisa tutaogopa kuchekwa.
soma signature yangu inaweza kukusaidia kidogo katikamaisha ya sasa
I already told you i ain't arguing with u any more b'cause u already proved me right above there that u know nothing on the topc if u want 2 argue do it,with the hand.