<br />Tuweni serious waadau.... SUKARI na Technolojia wapi na wapi?? Hili jambo linawezekana kama unaona haliwezekani ni kwako..... nalifanyia mchakato nimesema so wewe subiri nikutafunie....
Niliwa kutumia internet bure takribani one year kwenye cm Celtel by 2007 ila cku niliyobadirisha line na settings issue iligoma mpaka leo cjafanikiwa tena ila nifanikiwa tena u gn get it.