internet ya bure

internet ya bure

Haya nimekuja kama mkombozi wenu tena kunapost niliweka nikatoa fasta for my own security.

NIMEFANIKIWA KUCHAKACHUA LINE ZA MTANDAO FULANI NATUMIA NITERNET BURE up to 3.1MBPS NI 3.5G

KAMA KUNA MTU YUPO SERIOUS ANI PM Bei ni elfu 25 tu na unapata line na ukiweka kwenye modem unapata FREEEEE internet.

so wale wanao taka wanicheki.

nb: mimi natumia free internet mwezi unaisha sasa...Uncle Rukas bado haamini...tu.............

cheers.
 
Try this, not totally free but very cheap using your mobile phone: settings - configuration - prefered access point (select Tigo WAP or Zantel WAP) - activate default in all applications - connect to service provider - options - other options - go to address (type the website address of your choice) - ok. There you are, browse cheaply down to less than 500/- for the whole day!
 
hizi mbona configuration settings za sikuzote mkuu,,,,😛ound:😛ound:
 
Haya nimekuja kama mkombozi wenu tena kunapost niliweka nikatoa fasta for my own security.

NIMEFANIKIWA KUCHAKACHUA LINE ZA MTANDAO FULANI NATUMIA NITERNET BURE up to 3.1MBPS NI 3.5G

KAMA KUNA MTU YUPO SERIOUS ANI PM Bei ni elfu 25 tu na unapata line na ukiweka kwenye modem unapata FREEEEE internet.

so wale wanao taka wanicheki.

nb: mimi natumia free internet mwezi unaisha sasa...Uncle Rukas bado haamini...tu.............

cheers.

Sawa mkombozi wetu.... Umesema umefanikiwa kuzichakachua, na unauza kwa 25buks, na unajua ili siyo jukwaa la biashara bali ni la technolojia hapa tunapeana ujuzi na siyo biashara...

Basi tupe njia ulizotumia kuchakachua hizo line hadi kupata free internet na sisi tuzitumie kupata hiyo free internet....Maana hapa tunapeana maujuzi tu na siyo majungu au kufanya biashara.

Siwezi nikakuamini mkuu maana inaonekana wewe ni mwongo sana, awali ulisema ulipewa line kama 5 hivi na za ma-IT wa tigo ambao uwa wanapewa huduma hiyo bure, leo umekuja na kusema umezichakachua mwenyewe! mbona kauli zako zinapishana mkuu na bado unataka ni kuamini kwa lipi mkuu wangu?

Narudia tena, kuwa makini kijana wangu.
 
Mie my wife wangu alikuwa na ZANTEL modem ambayo aliilipia once na akawa anajinafasi tuuu kwa karibu miezi 6; juzi wameistukia=nimeona hadi kabadili maana kila alikuwa akiweka hela inatafunwa!! Sijui ilikuwa inajilipa madeni??!! BURE GHARAMA JAMANI!!!!!
 
Sawa mkombozi wetu.... Umesema umefanikiwa kuzichakachua, na unauza kwa 25buks, na unajua ili siyo jukwaa la biashara bali ni la technolojia hapa tunapeana ujuzi na siyo biashara...

Basi tupe njia ulizotumia kuchakachua hizo line hadi kupata free internet na sisi tuzitumie kupata hiyo free internet....Maana hapa tunapeana maujuzi tu na siyo majungu au kufanya biashara.

Siwezi nikakuamini mkuu maana inaonekana wewe ni mwongo sana, awali ulisema ulipewa line kama 5 hivi na za ma-IT wa tigo ambao uwa wanapewa huduma hiyo bure, leo umekuja na kusema umezichakachua mwenyewe! mbona kauli zako zinapishana mkuu na bado unataka ni kuamini kwa lipi mkuu wangu?

Narudia tena, kuwa makini kijana wangu.

dah ni kwel kabisa ulosema mi mwenyewe nlikua nashangaa!well said.
 
Anko huwa unanifurahisha sana unavompa mtu kavu za uso!!!...Huyu dogo ana maneno:dance: kidogo anikonvisi nimpe buku25 bana...teh teh!😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:
 
dah mi line yangu ya airtel nakula free(for 2 months now) kama kawa na kuna mshikaji wangu mmoja anatumia tigo bure its very easy.
 
Hizi ni story tu mkuu... au mara nyingine unakuta kuna makosa yamefanyika kwenye mtandao husika watu wakawa wanapata net bila kikomo kama ilivyowai kutokea kwa voda, sasa watu wengine ikitokea hivyo wanadanganya wenzao wamechakachua kumbe kamba tu...
<br />

Wanachukua Ujiko Wa Bureeeeeeee!!
 
iyo title yako mzee mie nlidhani ndio unayo internet ya bure
kumbe ndio kwanzaaa ......
 
Mpumbavu wewe nenda kule kwenye jukwaa la lugha kama unajiona ni mahiri kwenye lugha, hapa tunachojari ni kwamba ujumbe umefika au lah!
Mmmmmh? Nani mpumbavu hapa, aliyekosoa au aliyekosea?
 
Mtafute jamaa anaitwa shalobalo ndiye anayedeal na inshu za internet ya bure
 
Wakuu nami nimevutiwa na hii ya wi-fi ndio niaje niaje wakuu ?na kulock modem ni vipi unafanya ?samahani kama nimetoka nje ya mada wakuu.

WiFi inawezesha kuconnect kwenye internet kama kuna wireless internet karibu na haiko locked!!

Kuna wakati yangu ilikua inazingua nikawa natumia ya jirani yangu...provider wao ambae pia ndo wangu akaniambia sio tabia nzuri kutumia internet ya mtu mwingine bila idhini yake!!

Kuchakachua upate net ya bure bila bill yako kulipwa na mtu mwingine sio rahisi...we nunua tu na uombe mtu mwingine asije akafaidika ukabebeshwa wewe mzigo!
 
Back
Top Bottom