NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
Hii si ya kweli, kama mtu anajua hiyo ndo resulting speed asingesumbuka kukaa na kutengeneza kitu ambacho ni almost hakina application... Mbona google servers zina speed ya kutosha regardless ya idadi ya watu wanaotumia, Youtube streams ushawahi kuona zinazingua?0.0000001KBps
Nawasi wasi na shirika la kidukuzi la NSA kufanya yake,
Hapo kashapata loops na backdoors zote ya hiyo system. The world will become a "big brother" place
huu ndio mwanzo wa kuwa-tacked na kuonekana kila kitu unachokifanya kwenye simu au PC yako.
Hii si ya kweli, kama mtu anajua hiyo ndo resulting speed asingesumbuka kukaa na kutengeneza kitu ambacho ni almost hakina application... Mbona google servers zina speed ya kutosha regardless ya idadi ya watu wanaotumia, Youtube streams ushawahi kuona zinazingua?
inaonekana umezoea wi-fi zenye low speeds mkuu, hizo tunazo bongo tu...Wi-fi. Need i say more!!!
inaonekana umezoea wi-fi zenye low speeds mkuu, hizo tunazo bongo tu...
Hii Inafurahisha lakini ni hatari sana kwa afya, Wi-Fi Health Dangers & Radiation Health Effects , Wi-Fi inaradiations ambazo zinamadhara, na hiyo project inalenga kuzambaza radiation dunia nzima.
Wengi tunafikiria tatizo la kuchunguzwa, kitu ambacho asilimia kubwa ya watanzani hatutakiwi kuhofia. Kwetu tuhofie tu kupunguzwa Idadi kwa kila hali.
Sio nimezoea low speeds, kila method of transmission ina max bandwidth yake. Na katika njia zote za usafirishaji wa data kwenye network(i.e. Ethernet, optical fibers, etc) wireless method ndo ina lowest bandwidth. Kama nakumbuka vizur right now max bandwidth ya common wireless devices ni around 50 something Mbps huku Ethernets zinaanzia 100 kwenda juu. Sasa picture unatumia slowest method afu unasambaza kwa EVERYONE. Hehe i swear download speed ikizidi 3KB/s ntakua impressed
Hii Inafurahisha lakini ni hatari sana kwa afya, Wi-Fi Health Dangers & Radiation Health Effects , Wi-Fi inaradiations ambazo zinamadhara, na hiyo project inalenga kuzambaza radiation dunia nzima.
Wengi tunafikiria tatizo la kuchunguzwa, kitu ambacho asilimia kubwa ya watanzani hatutakiwi kuhofia. Kwetu tuhofie tu kupunguzwa Idadi kwa kila hali.
Hacking iko hadi leo, mtu akitaka kufanya hivo anafanya japo watu wanazidi kukomaa kuzuia hili, na ISP wetu hawana firewall ati ya kulinda kila mtu kwenye system, uko vulnurable kwenye hii system sawa na hiyo mpya tu hakuna tofauti.. Security companies nazo zitakuja vilevile watu wanatafta hela
makampuni ya simu wajiandae itakua mwendo mdundo watsapp for texting viber for calling