JuaKali
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 776
- 119
sawa kabisa. si unapata 38 naye alikwambia si chini 30???Internet speed test, router speed max 100Mbps kwa wifi pamoja na Ethernet, cha kushangaza Napata max 18Mbps kwenye Wifi na 38Mbps thru Ethernet Je hii ni kawaida? Note:internet provider kanihakikishia kupata si chini ya 30Mbps.
POle nafikiri sikueleweka vizuri shida yangu ni kutaka kujua kwa nini Napata 18Mbps kwenye WI-FI na 38 ninapoconnect kwa kutumia Ethernet cable?sawa kabisa. si unapata 38 naye alikwambia si chini 30???
usitegemee kabisa kupata hiyo 100, hiyo siyo speed ya internet aliyopewa. ni connection ya card/ethernet.
ni sawa na bomba lenye upana wa 100M diameter lakini maji yanayotoka hayana speed ya kujaza diameter yote. may be huwa nusu au robo ya diameter ya bomba
wifi ndio zilivyo. kuna mambo mengi yanaathiri speed yake na ni kawaida sana kupata nusu ya speed husikaPOle nafikiri sikueleweka vizuri shida yangu ni kutaka kujua kwa nini Napata 18Mbps kwenye WI-FI na 38 ninapoconnect kwa kutumia Ethernet cable?