Internet Speed on HP Notebook 15

Internet Speed on HP Notebook 15

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Habari zenu ndugu zangu na tumia hp notebook 15 pc yangu ina sumbua upande wa internet hasa wakati wa kudownload unakuta kitu kina mb 4 tu na mtandao ni 4g ila inatumia hadi dak 10 au 15 kitu cha mb 200 kinatumia masaa 3 hadi msaa 4 sasa usije jaribu cha gb 1 unaweza kulia maana hadi masaa 10 inachukua. Je nauliza nn itakuwa tatzo maana nimesha tumia wifi,router(universal 4g) ninayo modem ya 4 g nayo ni universal ya huawei,cable table(ili ya kuonganisha na usb wire).

Hivi vyote ninavyo yaan na wifi(simu),router 4g,modem 4g. Navyote nakitumia vinashidwa kudownload au inakuwa na slow speed hata nikiwa naangalia video youtube nikiwela high quality inasumbua hatari ila ili tatzo la kuwa kuna tatzo upande wa kudownload lilikujaa baada ya tcra kufungulia mitandao ila kabla ya uchaguz ilikuwa inakimbiza fresh tu ilikuwa inapeleka hadi 4m per sec ila sasa hv hakuna kitu. Hapo speed inakaaga mara nyingi ni 72.2 mbps ingawa muda huu imekaa 100 mbps wakati na ichukua . Msaada wenu wa dau chief-mkwawa

nafakabeinafuu

Screenshot_20201223-163829.jpg
 
hata mm Pc yangu ilipata hiyo shida. nili reset network settings kisha kikabadili line, mtandao ukaflow vizuri baadae nikarudi na line yangu ya kawaida
 
Jaribu kutumia pdanet+ ipo playstore unadownloAd kwenye simu na pc.

Yenyewe badala ya kutumia built in drivers inatumia za Kwame, kama ni Tatizo la mtandao wa simu inaweza bypass.

Inatumia USB tethering
 
Mkuu pole na majukumu naomba msaada apps ambayo ntaweza downlod move na video youtube,mwanzo nilikuwa natumia videoder saizi naona inagoma.
 
Umejaribu kui update mpaka latest version?

Ipo open source moja inaitwa dentex ni simple sana kama hutaki mambo mengi
 
Habari zenu ndugu zangu na tumia hp notebook 15 pc yangu ina sumbua upande wa internet hasa wakati wa kudownload unakuta kitu kina mb 4 tu na mtandao ni 4g ila inatumia hadi dak 10 au 15 kitu cha mb 200 kinatumia masaa 3 hadi msaa 4 sasa usije jaribu cha gb 1 unaweza kulia maana hadi masaa 10 inachukua. Je nauliza nn itakuwa tatzo maana nimesha tumia wifi,router(universal 4g) ninayo modem ya 4 g nayo ni universal ya huawei,cable table(ili ya kuonganisha na usb wire).

Hivi vyote ninavyo yaan na wifi(simu),router 4g,modem 4g. Navyote nakitumia vinashidwa kudownload au inakuwa na slow speed hata nikiwa naangalia video youtube nikiwela high quality inasumbua hatari ila ili tatzo la kuwa kuna tatzo upande wa kudownload lilikujaa baada ya tcra kufungulia mitandao ila kabla ya uchaguz ilikuwa inakimbiza fresh tu ilikuwa inapeleka hadi 4m per sec ila sasa hv hakuna kitu. Hapo speed inakaaga mara nyingi ni 72.2 mbps ingawa muda huu imekaa 100 mbps wakati na ichukua . Msaada wenu wa dau chief-mkwawa

nafakabeinafuu

I’ve been using their internet services for a long time now. In the beginning, everything worked well and I never faced any problem but when they last updated their network, everything suddenly seemed to work slow. Downloading and uploading started taking more time. After checking my router and other things, I checked the speed of my internet over here speedput . The speed was terribly low and that’s the reason that I was feeling stuck. I contacted them to solve the problem but when they didn’t take any step I changed my internet services.
 
Back
Top Bottom