Wana JF, lHabari za muda huu…
mambo yanavyoenda sasa hivi ni straight up wild, yani pure madness.
Tumeshaambiwa mara kadhaa kuwa internet inaweza kuzimwa and honestly, tujiulize… kwanini? What’s the real play here?
Because hii story yote inanuka agenda za chini ya meza.
Yani unaamka asubuhi unakuta taifa linaendeshwa kama cheap street hustle, no plan, no accountability, just vibes na panic.
Internet kuizima si protection, si security ni move ya kutuchonga kama hatuna akili.
Who does that in 2025?
This ain’t leadership, this is straight up chaos mode.
Halafu watu wanafanya kama access ya information ni luxury.
Bruh, people make money online, tunauza, tunafanya remote jobs, tunawasiliana halafu mtu anakuja na hii idea ya “let’s shut it down”…
For what?
To hide what?
To block what?
Because once you switch it back on EVERYTHING pops up.
Hakuna siri ya digital. Period.
Na kama mtu kweli anajali nchi, anajali uchumi, anajali youth, anajali stability
Hizo decisions hazitoolewi kama uko kwenye free trial of leadership.
Tanzania sio playground.
Hii ni nation, not some street corner where people act impulsively.
Wanaomzunguka kiongozi badala ya kumtahadharisha wanajitupa kwenye yes-boss energy kama wanatafuta endorsement.
Uchawa unaua nchi bila mlio.
Tunaishi kwenye nchi yetu kama tuko kwenye restricted mode, hakuna uhuru, hakuna consistency, hakuna direction.
Kama system haiwezi ku-hold pressure bila kufunga internet, bila kuvuruga wananchi, bila kutisha watu
Then yo, let’s be honest… someone needs to step back.
Because future ya taifa haiendi mbele kwa fear + silence + cover ups.
Tunataka stability, openness, real leadership, real talks, sio hizi move za kuturudisha enzi za giza.
Tanzania deserves better.
Watu wake wanastahili better.
Na generation ya sasa we see EVERYTHING.