MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 600
Yaani hii nchi sijui kuna nini cha kujivunia labda ubadhirifu wa fedha.Toka jana mchana wateja wote tunaotumia huduma za internet hatuna huduma .Pa nimeambiwa hata maofisi yao hayana huduma hiyo.Yaani inaudhi na kukera hapo hapo manake mambo yetu mengi yamekwama kabisa.Sijui kama watu wa IT wana proper training kwa maana ya kujua umuhimu wa kupunguza downtime na kuongeza service availability.Watu wa IT wa TTCL (Ad... , Nko... , Ern... na wengineo) jipangeni na kushawishi menejiment kuwekeza katika vifaa vya kisasa vya kutoa huduma ili kuondoa mambo haya.Mkiona hawaelewi bora muache kazi muende sehem nyingine.