Yaani mfano Zuku wangekuwa wamefika Kibamba, Mpiji Magohe, Mbezi Msakuzi nk wangezoa sana wateja. Sawa ni nje ya mji ila siku hizi wakazi karibu wote wana smartphones, na smartphone bila internet - hakuna kitu. Makampuni ya simu bei zao ni katili ila wananchi wanakomaa nazo. Wawekezaji fungukeni, wateja wapo.Hivi kwanini kila mtu anayeanza ku supply internet coverage ya kwanza lazima ipelekwe maeneo hayo?
Kwa maoni yangu naona hayo maeneo tayari yamejitosheleza kwenye huduma za internet kutokana na makampuni mengi kuwekeza huko.
Makampuni yamekuwa mengi kuliko uhitaji wa watu.
Wakati maeneo kama Vingunguti, Buza, Kiwalani, Gongolamboto, Kigamboni nk yana watu wengi wenye uhitaji wa internet lakini hakuna hata kampuni lililo invest huko kutoa huduma ya internet.
Hayo maeneo mliiyofika tayari kuna Fiber kama zote, wengine na Head Quarter zao zipo hapo hapo.
Gongo la mboto mnafika?Tupo mpaka Buza mkuu,
Internet kwa njia ya radio?Radio mkuu.
Ukijibu hivi ni ngumu kuona.Tupo mpaka Buza mkuu,
Hii si itakuwa na gharama sana za installation hadi package?Radio mkuu.
Taja BeiNakusudia maulizo kibao. Na maombi ya huduma mkuu karibu sana