Internet kwenye Resort.

talentbrain

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,187
Reaction score
760
Msaada wenu wadau.

GT wa Jf habari zenu na kama kawaida tukitatizwa tunaleta changamoto zetu hapa.
Katika Resort yangu pamekuwepo na wireless internet tunayonunua toka TTCL. Ila kama miezi mitatu imepita mtandao wa ttcl umekuwa down sana na hata kushindwa kufungua pages. Tumejaribu kufuatilia kwa provider wamebaki kuuma midomo na inaonekana wanatatizo na kwa sisi tulio mbali kidogo ndo tumeathirika zaidi.
Nahitaji mawazo yenu juu ya njia sahihi ya kutatua hili.
Msaada wenu wadau.
 
Mkuu unatumia wireless radio au broadband kutoka kwa TTCL? kwa upande wangu naona iko safi tuu na speed imekaa vizuri sana kwa sasa na bei imeshuka mara dufu kwenye packages kwa mfano mimi huwa napata GB 100 kwa only sh laki 4 na 60 elfu kwa mwezi.
 
Ahsante kwa ushauri wenu, mdau hapo juu nimesha mcheck
 
Nadhani ttcl wanatatizo mkoa wetu wa Kigoma. Huenda ndani ya siku hizi mambo yamekuwa shwari sana. Sihitaji bandle kubwa sana kwani inatumika ku surf tu. Gb chache tu zinatosha.
Mkuu unatumia wireless radio au broadband kutoka kwa TTCL? kwa upande wangu naona iko safi tuu na speed imekaa vizuri sana kwa sasa na bei imeshuka mara dufu kwenye packages kwa mfano mimi huwa napata GB 100 kwa only sh laki 4 na 60 elfu kwa mwezi.
 
Kuhusu kuwa Radio au broadband kwakuwa si mtaalam ktk nyanja hiyo sina jibu ktk hili.
 
mcheki alphonce.NET
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…