ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Nina Laptop Ina window 8 na Google Chrome nikiconnect internet inaconnect Vizuri kabisaa lakini nikiongia Google Chrome ili ni browse haibrowse Japo Internet ipo Strong Sana
The same Internet Nikiconnect Kwenye Laptop Nyingine Inaconnect Vizuri kabisaa na Nina browse Bila shida yoyote kabisaa
Msaada Laptop Yangu knakuwa imekutwa na shida gani Ambayo inafanya nisiwezs kubrowse internet Maana Ita Load mda Mrefu sanaa bila mafanikio