Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,925
- 4,028
Wi-fi bei mbaya mwanangu, zile public wi-fi za chuo mahotel etc hazina speed ki hivyo pia haziko safe
habari wakuu,mimi mda mwingi natumia internet kutokana na kazi zangu ,so nilikuwa naomba kama kna njia nyingne ya kunisaidia atleast na mimi nipate cheapest way ya kununua internet coz kwa siku natumia hadi 2000
Mbona kama wadownload porn hapo,?
Kama mm ninazo line za airtel ambazo zina 8Gb kwa 10000. Call 0779420000
nipigie kwa namba hii 0687869618,,nakuhakikishia hutajutia utatumia mpaka utabakisha nyinginehabari wakuu,mimi mda mwingi natumia internet kutokana na kazi zangu ,so nilikuwa naomba kama kna njia nyingne ya kunisaidia atleast na mimi nipate cheapest way ya kununua internet coz kwa siku natumia hadi 2000
Hiyo ni uhakika au na yenywe ndo ile zinazokuja kupata ajali kama mabus yetu yalee..
Hii ni uhakika. Kwasababu ni sim card nimepewa na airtel wenyewe sio wizi huu.
Wizi mtupu!!!
Hizo ni offer zinazokuja pamoja na Modem, ni haki ya mnunuzi but nyie mnawauzia bila ya kuwapa linezao za ofa(Airtel)
Pia wale wa voda mnawachukulia zile ofazaokupitia Imei number>
Shame on you
Wana control speed, unapata top speed mwanzo, ukimaliza 3GB speed inashuka hadi kama 35KB/s lakini still unaweza download torrents au chochote
Mimi natumia hiyo tangu walipo block vpn clients, na hivyo ndivyo inavyofanya kazi
sasa mkuu ukipata net ya 35kB/s utasema ndio unapata net? itakuchukua muda gani kudownload dvd ya 4GB?
is it worth 40,000/=? is it worth it??